Karibuni hapa wenyeviti walomshabikia Lowassa

lubamba

JF-Expert Member
Jan 13, 2015
947
614
Habari wanajamvi,
Hivi wale wenyeviti 15 wa CCM waliomsindikiza El wakati wa kurudisha fomu ya utia nia pale Dodoma wanarudi mikoani mwao kuhamasisha wanachama wao kwamba El hafai au ameonewa? Watawaunganisha vipi wanachama wao ili waungane upya? Kuna wengine walifikia hatua ya kumfananisha na mtume.

NOTE:Tunaamini kuwa mawazo ya wanachama ktk mikoa waliyotoka wenyeviti hao ndo hayo yaliyowakilishwa na wenyeviti wao.Sote ni mashuhuda ya utitiri wa mashabiki/wanachama hao ikiwa ni pamoja na idadi ya waliosaini kumdhamini EL kila alipokuwa anapita huyo mtia nia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom