Kwa wataalamu naombeni ushauri wa tatizo hili

lubamba

JF-Expert Member
Jan 13, 2015
947
614
5 s engine ya Toyot harrier yenye km 189 k inachemka balaa,na inakula oil kama jini.system zote zs cooling na lubricating zimefanyiwa kazi lakini bado haifanani,pumps z water na oil zinafanya kazi, ila inalamba oil kama imetumwa huku kipimio kikionyesha low pressure oil.

Fundi wa ziada anashauri turudisha balance shaft, maana ilichomolewa muda hilo sijajaribu.unapostart engine ikiwa idle pressure gauge inawaka. Ukiacelerate inazima halafu itatokea baada ya 20 KM ikiambatana na mchemko.

Ushauri tafadhari.
 
Back
Top Bottom