Search results

  1. nanawoo

    Nahitaji Mwanamke ambaye yupo tayari kuolewa mke wa pili

    Kutokana na hali jinsi inavyokwenda kweli wanawake wanahitaji stara, wanaume wenzangu tuongezeni speed ya kuwasitiri. Binafsi nipo tayari kuongeza mke, natangaza nafasi kwa alietayari kuupokea uke wenza, awe na heshima amuheshimu atakaemkuta. Vigezo; awe muislam age aanzie 27 hadi 37 hata...
  2. nanawoo

    Je, ungekua wewe ungechagua adhabu gani?

    Vijana kazi kwenu
  3. nanawoo

    Kwa mwenyeji wa moroni comoro

    Wakubwa shikamoni wadogo marhaba twende moja kwa moja kwenye mada Jaman nimepata shauku ya kwenda kutembea moroni kwa mwenye kupajua Msaada vip hotel zao price za kati na kati Chakula na sehem za kutembelea nikipata mwenyeji nitafurah zaid
  4. nanawoo

    Hi

    Nipo stontown
  5. nanawoo

    Asalaam alaikum wana mwanza ROCK CITY

    Asalaam alaikum jaman kwa wenyej wa mwanza naomben msaada nakuja mwanza inshaalah kesho hotel nzur isizid elf 40 na nahitaj mwenyeji atakaentembeza Sent using Jamii Forums mobile app
  6. nanawoo

    Hodi hodi wanaJF walioko Pemba

    Habar za jioni wanaJF mliopo Pemba Chake mi mgeni wenu ndio naingia. Naomba mwenyeji jamani kama yupo anifuate private na humu naomba tufahamishane wapi pa kutembelea Chake.
  7. nanawoo

    Nasaha kwa waliofika umri wa 35 yrs na kuendelea

    *Nasaha kw waliofikia 35Age 40-50 na juu ya Umri huo...* *Nasaha 1... Juu yko kupiga CHUKU(Hijama) kila mwaka hata kama huhisi maradhi au mapungufu yyte* *Nasiha 2...Kunywa maji kw wingi japo huoni kiu au huyahitajii ...kwani mashakil mengi ya mwili huja kw kupungua maji mwilini* *Nasaha...
  8. nanawoo

    Akram Aziz na madai ya kukamatwa na nyara za Serikali: Ufafanuzi

    Mfanyabiashara wa Utalii avamiwa na kusachiwa kwa kwa saa 20 Mfanyabiashara mkubwa wa Utalii na uwindaji Akram Azizi ambaye ni Mkurugenzi wa kampuni ya Kilombero North Safaris jana mchana alivamiwa na askari wakiwa na maofisa wananyamapori, akituhumiwa kuwa kontena lililosheheni nyara za taifa...
  9. nanawoo

    Wenyeji wa dar hapo unaweza jua ni wapi?

  10. nanawoo

    Ya Mungu mengi

  11. nanawoo

    special kwa madada wapenda maboss

    Sent using Jamii Forums mobile app
  12. nanawoo

    Natafuta nissan civilian ilotumika kidogo bajet inaanzia M20 kishuka

    natafuta civilian ilotumika kidogo bajet ni milion 20 kushuka chini Sent using Jamii Forums mobile app
  13. nanawoo

    Jinsi majina ya Wanaume yanavyobadilika kutokana na uongozi

    WANAUME NA ENZI ZETU! Enzi za #Mwalimu wanaume tulipewa majina stahiki kama vile MUME WANGU au BABA WATOTO Enzi za #Mwinyi wanaume tuliitwa MABWANA utasikia mwanamke ana muhadisia mwenzie kapata #Bwana. Enzi za #Mkapa wanaume tukaitwa MABUZI Mwanamke ana msimulia mwenzake nime pata #Buzi...
  14. nanawoo

    Azam atoa ndege au ni editing tu wakuu

    Sent using Jamii Forums mobile app
  15. nanawoo

    Serikali imeziagiza mamlaka za miji nchini kuwavunjia watakaojenga maeneo yasiyopimwa

    Serikali imeziagiza mamlaka za miji nchini kuwavunjia mara moja watu ambao wananzisha ujenzi katika maeneo ambayo hayajapimwa kwani kwa sasa Serikali imeweka mazingira rafiki ya watu kumiliki ardhi. Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya makazi Mhe.Willium Lukuvi ametoa agizo hilo mara baada ya...
  16. nanawoo

    Nini hupelekea mtu kuwa maarufu eneo geni?

    Nina mshikaji wangu kila tukisafiri nae kwenda mikoa tofauti tukifika haichukui muda kashazoeleka na watu gafla wanamfahamu na hata msaada pia kama tumekwama tunasaidiwa haraka na jamaa tunaowakuta yaani wanajitolea kama tulikua tunafahamiana mwanzo kumbe ndio kwanza tunaonana nao.
  17. nanawoo

    RATIBA YA WANAUME WA DAR W/END

    RATIBA YA WANAUME WA DAR W/KEND 1.Asubuhi-Chai na soseji moja na yai la kuchemsha Baada ya chai anaangalia tamthiliya ya kifilipino[emoji2][emoji2][emoji2] 2.Mchana-Chips mayai na mayonaiza na mshikaki mmoja. Jioni jioni anaenda kufanya pedcure[emoji4][emoji4] pale mwenge. Baada ya hapo dili...
Back
Top Bottom