Wenyeji wa dar hapo unaweza jua ni wapi?

Wenyeji wa dar hapo unaweza jua ni wapi?

nanawoo

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
1,312
Reaction score
1,279
5047ae805bfc654863129ba2dcc6de94.jpg
 
Hapo fire goma linateremka kuelekea jangwani then migomigo mpaka ubungo.
Zamani ilikuwa Raha!!! Kitu Leyand "Kinanda' ikiwa inapandisha kilima Cha kuingia magomeni mlioko shekilango mnaisikia mlio wake.!!!! Acha Kabisa!!!!
 
Halafu kuna watu wanasema CCM haijaleta maendeleo!!
 
Afu wanaufipa wanasema CCM hakuna ilichofanya tangu uhuru mpaka sasa. Hoja za upinzani hovyo kabisa.
 
Back
Top Bottom