Jinsi majina ya Wanaume yanavyobadilika kutokana na uongozi

nanawoo

JF-Expert Member
Jan 2, 2015
1,267
1,215
WANAUME NA ENZI ZETU!
Enzi za [HASHTAG]#Mwalimu[/HASHTAG] wanaume tulipewa majina stahiki kama vile
MUME WANGU au BABA WATOTO

Enzi za [HASHTAG]#Mwinyi[/HASHTAG] wanaume tuliitwa MABWANA utasikia mwanamke ana muhadisia mwenzie kapata [HASHTAG]#Bwana[/HASHTAG].

Enzi za [HASHTAG]#Mkapa[/HASHTAG] wanaume tukaitwa MABUZI
Mwanamke ana msimulia mwenzake nime pata [HASHTAG]#Buzi[/HASHTAG].

Enzi za [HASHTAG]#Kikwete[/HASHTAG] tukapewa majina mazuri na matamu hata ukisikia unafurahi moyoni,
[HASHTAG]#Baby[/HASHTAG], Darling,sweety,Honey na mengine mengi.

Enzi hii ya [HASHTAG]#Magufuli[/HASHTAG] sasa!
Pesa hazionekani wanaume tume vurugwa maisha magumu
Wanatuita [HASHTAG]#WAHENGA[/HASHTAG]
Wanawake wa Bongo Mungu anawaonaaaa.

Wanaume kwa Vile Pesa Ngumu,tuna kauli yetu tunakwambia
Mwanaume [HASHTAG]#MASHINE[/HASHTAG]
Dadeki mta elewaa tuuuh!


*Watu Bwana*

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo heading yako umeisoma jinsi ulivyochapia?

Eti EANAUME.

YANAVOBADILIKA ? hicho sio kiswahili andika Yanavyobadilika
 
Back
Top Bottom