Mkakati wa Al ahly kwenye hatua ya mtoano laiti kama angekutana na Yanga SC hapa Taifa kwenye hatua ya mtoano kama hii basi hii mechi ingeisha leo.
Sioni Simba wanaweza kwenda Cairo kutoboa ktk fixture ya marudiano. SIONI kwakweli.
Hii ni robo fainali ya 5 Simba anashindwa kwenda nusu.
Game...
Naona umeyumbishwa na mitazamo ya Atheist.
Ok labda nianzie hapa ambapo ni rahisi sana kwako. Let us assume Gospel imeandikwa na the third eyewitness au the seventh eyewitness.
yupi wa kumuamini kati ya hao na yule aliyekuja kuzaliwa miaka 600 baada ya nyakati zile?
Hujajibu swali.
Zingatia uzi.
Hata mimi nataka sababu ya kwanini nikuamini wewe uliyezaliwa mwaka 1997 na sio wale walio pata kuishi nyakati za Yesu za karne ya kwanza/.
Ni vigumu kwa wewe usiye trinitarian kuweza kufahamu Matayo 27:46
Kama vile sisi wakristo tunavyoshindwa kuielewa Sura ya 33.Al-Ah'zab Mstari wake wa 56.
Unaosema Mungu (Allah) na Wanamswalia Mtume.
Yaani Mungu (Allaha) na Malaika wanapiga magoti kumswalia Mtume? Aisee.
Ukiweza kufahamu huo...
Umeona ni namna gani Msaafu ulivyokuwa sio wa kuaminika?
Wewe kama muislamu hukupaswa kuniambia niende google.
Ilipasa unipe kifungu kutoka msaafuni then mimi niusome.
Hongera!!
Ni ngumu sana kwasababu hayo mambo kuweza kuandikwa na kutiwa ktk kumbukumbu ktk miaka hiyo ilihitaji Mungu aingilie kati na uweza wake kwa manufaa ya kizazi kijacho na cha baadaye.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.