Search results

  1. titimunda

    Kweli maisha hayako fair

    Ila kutegemea simba awe fair kwako asikukule eti kwasababu wewe hujamla ni kujidanganya,haki huwa haiombwi,bali hudaiwa. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. titimunda

    Ukweli wa video hii ni upi? Je, mauaji haya ni kweli yalitokea Zanzibar?

    Wanajamvi, Kuna hii video ipo youtube kitambo kidogo, inaonesha watu wakiuawa kwa mamia, wengine kwenye plots na wengine fukwe. Video inadaiwa kuchukuliwa Zanzibar mwaka 1964. Kwa wataalamu wa historia, wachambuzi na Wajuzi tujuzane, ni kweli hii ni Zanzibar? Je, nini kilikuwa kinaendelea...
  3. titimunda

    Kwanini tujipe tabu

    Kwanini tujisumbue kuwinda,wakati uwezo wa kupora kibabe tunao. On top of the food chain.proud to be a masai.
  4. titimunda

    Nahitaji watu/mtu wenye utaalamu wa kuchora kwenye nguo.

    Husika na kichwa cha habari,nahitaji msanii/painter anayeweza kuchora kwa ustadi kuchora kwenye nguo,ama fabrics ,mniPM tuyajenge.
  5. titimunda

    Ni kozi zipi zinafundishwa kwenye shahada ya 'Development Studies' ya UDSM?

    Naomba kujua kozi zinazofundishwa kwenye degree ya development studies UDSM,kwa mwenye kufahamu.Natanguliza shukrani.
  6. titimunda

    Cryptocurrency speculators & analysts mpo?

    Mara ya kwanza kukutana na habari za digital currency ilikuwa mwaka 2012 kipindi hicho bitcoin moja ilikuwa ikiuzwa dola saba.miaka mitano baadae(2017) thamani ya bitcoin moja ni 2756$.Kwa mahesabu ya haraka haraka kama ningenunua bitcoin 100, kwa dola 700 ambayo kwa mwaka huo(2012) ilikuwa ni...
  7. titimunda

    HAPPY 4/20 DAY (to whom it may concern)

    To the stoners,the rugulars,the occasionals and the medical users. To the planters,breeders,strain hunters and connoiseurs. To the folks in the legalised side of the spectrum and to many others in parts where its still illegal. Whether alone or with company,whether rich or broke lets get lit...
  8. titimunda

    Tafakuri: Tunacheza ngoma ya watwana

    Waungwana, Kumekuwa na tabia ya watawala duniani kudiverge attention ya watawaliwa kutoka kwenye mijadala/matukio ya muhimu na yenye kuzua sintofahamu na kuelekeza macho na maskio yao kwenye matukio ya kutengeneza, ambayo yanahamisha mijadala ya kijamii kutoka kwenye matukio muhimu na kuhamia...
  9. titimunda

    RETALIATION

    Imekuwa kawaida kwa Watawala kuminya haki za wanaowatawala na kufanya watakalo huku wakiamini kuwa hatuna cha kuwafanya.Na historia inatufunza kuwa bila wananchi kujitoa muhanga na kusimama kidete kupinga uonevu na utawala wa mabavu basi hali haiwezi kubadilika Sasa in light of recent events...
  10. titimunda

    Noti zetu

    Nilikuwa naomba kueleweshwa kuhusu hii kitu.Hizi noti za shilingi hususani ile ya 500 na 1000 kuwa chini ya kiwango na kuchakaa haraka kwanini halizungumziwi?,au tayari limeshatolewa ufafanuzi?.Maana zinatia aibu hususani hii noti ya mia tano.je zilitengenezwa kwa viwango stahili au kuna...
Back
Top Bottom