RETALIATION

titimunda

JF-Expert Member
Nov 26, 2014
7,604
2,000
Imekuwa kawaida kwa Watawala kuminya haki za wanaowatawala na kufanya watakalo huku wakiamini kuwa hatuna cha kuwafanya.Na historia inatufunza kuwa bila wananchi kujitoa muhanga na kusimama kidete kupinga uonevu na utawala wa mabavu basi hali haiwezi kubadilika

Sasa in light of recent events watawala wameonyesha makucha yao kwa kufanya juhudi zote kuzima sauti ya umma kwa kutaka kuudhibiti mtandao wetu pendwa wa Jamiiforums.Ndugu yetu Max yuko lupango kwa kosa la kututetea na kutetea haki zetu sisi wanajamvi,sasa swali linakuja je sisi kwa ujumla wetu tunachukua hatua gani?.
How do we retaliate?,je kuweka tu hashtag ya FreeMaxenceMelo inatosha?,hatua gani nyengine zinapaswa kuchukuliwa ili kuwaonyesha kuwa sisi sio watu wakuchezewa kizembezembe?.

Je uanzishwe mfuko maalumu wa kuchangia gharama za hii kesi na JF kwa ujumla?.(hii haimaanishi kuwa jf haina uwezo
Au tufanye peaceful protests?
Ama tuwatafute wajuvi dizaini ya akina lulzsec na Anonymous wawaonjeshe kidogo wakulu ladha ya public outrage?

Yote kwa yote lazima tufanye kitu,kulalamika tu mitandaoni na kuweka hashtag haitasaidia kutatua hili tatizo.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom