titimunda
JF-Expert Member
- Nov 26, 2014
- 7,565
- 9,808
Mara ya kwanza kukutana na habari za digital currency ilikuwa mwaka 2012 kipindi hicho bitcoin moja ilikuwa ikiuzwa dola saba.miaka mitano baadae(2017) thamani ya bitcoin moja ni 2756$.Kwa mahesabu ya haraka haraka kama ningenunua bitcoin 100, kwa dola 700 ambayo kwa mwaka huo(2012) ilikuwa ni shilingi 1,106,000 nikaziuza leo tarehe 1/8/2017 kwa rate ya 1usd:2239tzs ningepiga shilingi milioni mia sita na kumi na saba sitini nane elfu na mia nne (617,068,400).kwa kipindi kile niliichukulia bitcoin kama sarafu tu sikuwahi kufikiri itakuja kupanda thamani kiasi hiki,saizi ningekuwa mtamu balaa najilaumu kwanini sikushtuka mapema.
Sasa ningependa kupata maoni ya wajuvi ni coin zipi zinazochipukia au ambazo bado changa zenye potential kubwa ya kupanda thamani in the near future,tuweze kuwekeza long term.
Katika tathmini yangu ya kilayman nimevutiwa na Monero,ETHERIUM MOVIE VENTURE(EMV) na ANS/NEO naziona kama zitakuja kufanya vizuri siku za mbele
-