Search results

  1. Ntumami

    salamu zangu za Mwaka mpya

    jamani, toka mwaka uanze nilikuwa sijapita huku.... na leo nachukua fursa hii kwa mambo mawili 1. Heri ya mwaka mpya wana JF woooooooote 2. naungana nanyi nyoote kwa msiba wa dada yetu.......... so sad to speak about it... May God bless us.... wishing you the best in 2012 my message to you...
  2. Ntumami

    kuandika jina ubavuni mwa gari lako: hii sheria ina umuhimu gani leo?

    habari wana JF Leo ningependa kulifikisha hili kwenu tulitazame sote kwa pamoja, huwa ninaona magari yameandikwa majina ya wamiliki ubavuni, mara nyingi kwa saloon ni karibu na milango ya mbele. Leo mtu mmoja akaniambia yeye alikutana nayo hiyo alipoenda kulipia faini mojawapo polisi akaambiwa...
  3. Ntumami

    Nimeipenda hii staili ya uongozi shirikishi

    Hapa namuona Mbowe na wabunge wenine kadhaa wakifanya usafi wa maeneo mbali mbali kwenye wilaya ya HAi fuatilia link hii: matukio-michuzi: Mh Mbowe azindua taasisi ya Kusimamia Mpango wa Maendeleo ya Wilaya ya Hai ( HAKIDI)
  4. Ntumami

    This is how Mwanza celebrated 50 yrs of independence

    On siku ya uhuru it was full mvua na mafuriko baadhi ya maeneo kwa Jiji kama hivi!! hizi ni baadhi tu, tumethubutu,......... malizia
  5. Ntumami

    Gwanda la kijani ama Gamba la kaki.... bora kipi?

    Ni ukweli kwamba kwa sasa wanasiasa wengi wanajitahidi kusoma nyakati kwa makini sana to the extent kuna baadhi ambao tumeona wakionekana ni magwanda lakini "ya kijani" na baaadhi wakiwa kama magamba "lakini ya kaki" je hii ni ishara gani kwa chama tawala na chama "tawaliwa"??
  6. Ntumami

    Enzi za ubachelaaaa

    Habari wana JF, leo ningependa kukumbushana maisha tuliyopitia katika kipindi ukiwa bachelor.... yaani zile experience za ubachelor unazozikumbuka ambazo ukiwa kwenye Ndoa hutarajii sana kukutana nazo teh teh teh kwa kuanza 1. kula canteen karibu milo yote 2. chakula kikuu chako kuwa chips...
  7. Ntumami

    kweli vyandarua vya Bush vimesaidia wengi!!

    haya nimeona mwenyewe kwa macho yangu nikajaribu angalau kuchukua baadhi ya picha kwa kutumia camera ya simu na nikapata hizi hapo.... hizo ni baadhi ya pcha nyingi za kuonyesha matumizi tofauti tofauti ya vyandarua vya bure ambavyo kidogo vifanane na "makokoro" ya wavuvi!! [I hope kanda ya ziwa...
  8. Ntumami

    Oooh!!! poor Geita!!!

    for the fisrt time this week I arrived in Geita, ni sehem ambayo ina mgodi mmoja mkubwa sana wa dhahabu na ni moja ya migodi mikubwa sana Africa kwa jinsi ninavyojua, pamoja na huo kuna migodi midogomidogo mingi sana lakini Geita ni kati ya miji iliyo na miundombinu mibovu ya mahitaji muhimu kwa...
  9. Ntumami

    Nyepesi nyepesi: Shyrose Bhanji ana plan yoyote na Magwanda?

    katika pitapita yangu nimekutana na picha hii... sijui ina ujumbe wowote kwa magwanda? naomba mwenye kujua kuhusu hiyo picha anisaidie kujua zaidi pia
  10. Ntumami

    Ati wewe ungepanga vipi?

    Jamani nauliza si kwa nia ya kuendekeza ukabila ila kwa ku-consider tabia na experience za makabila, laiti ungepewa kupanga wizara kuendana na makabila ili kuongeza ufanisi wewe ungezipanga vipi? mimi naanza mfano; wakurya- wizara ya ulinzi wazaramo- wizara ya habari wapare- benki kuu...
  11. Ntumami

    Msaada kwenye tuta

    wadau naomba kuuliza, Afrika kuna umoja wa wake wa viongozi wakuu wa nchi za Afrika. vipi kuhusu nchi ya Liberia? nani huiwakilisha?
  12. Ntumami

    hivi ungekuwa sio Mtanzania, ungeweza sema nini juu ya Tanzania kwa haya?

    wapendwa wana jamii,hebu pata picha wewe si Mtanzania kisha ukasikia kuwa kuna sehemu kuna watu wanachuna ngozi!! kisha baaada ya muda ukasikia hukohuko wanaua vikongwe!! tena mara ukasikia kuna watu wanaua albino!! mara tena unakuja kusikia vifo vya vichanga vingi navyo vikihushwa na imani...
Back
Top Bottom