Msaada kwenye tuta

Ntumami

Senior Member
Sep 3, 2010
127
23
wadau naomba kuuliza, Afrika kuna umoja wa wake wa viongozi wakuu wa nchi za Afrika. vipi kuhusu nchi ya Liberia? nani huiwakilisha?
 
Mkuu! Mi najua-ga kuna Umoja wa wake wa marais wenye maziwa makuu! (sina hakika na matamshi) Labda wengine watanisaidia hapo.
 
nimeiona inaitwa africa organization of first ladies against aids (OAFLA) sasa sijui liberia huwakilishwa vipi?
 
Mkuu! Mi najua-ga kuna Umoja wa wake wa marais wenye maziwa makuu! (sina hakika na matamshi) Labda wengine watanisaidia hapo.
 
Back
Top Bottom