Nyepesi nyepesi: Shyrose Bhanji ana plan yoyote na Magwanda?

Ntumami

Senior Member
Sep 3, 2010
127
23
317791_256731614362640_100000774099294_602578_346891523_n.jpg

katika pitapita yangu nimekutana na picha hii... sijui ina ujumbe wowote kwa magwanda? naomba mwenye kujua kuhusu hiyo picha anisaidie kujua zaidi pia
 
SOBY

JF-Expert Member
Sep 19, 2011
1,268
456
HILI KAPI lina manufaa gani kwa CDM TAIFA KUBWA?
Labda NCCR, mkuu mimi ni magamba ila CDM wana kina dada na kina mama smart sana!, na wakiwa exposed (mfano huyo wa kalenga) wakinamama wengi sana wanaweza kuvutiwa.
Shyrose ni kama anti fulani hivi ambaye dada zangu wauza chapati pale temeke mwisho watamuona anajidai au anaweza kuwachukulia waume zao. Not a good idea.
 
tz1

JF-Expert Member
Mar 19, 2011
2,124
523

Muuza sura
 
Kimbojo

JF-Expert Member
Apr 12, 2009
387
54
Nakumbuka Makamba aliwahi kumwambia anavaa ngua fupi afu ana bwana wa upinzani
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom