Search results

  1. jose mjasiriamali

    Thread maalum ya watumiaji wa Pikipiki ya TVS

    Kiuhalisia Hili dude ni gumu,mi nalitumia kwa shughuli za shamba kuanzia 2018 Hadi Leo linadai,vifaa vyake ni kweli ni ghali ila huwezi badilisha mara nyingi kama mchina
  2. jose mjasiriamali

    Thread maalum ya watumiaji wa Pikipiki ya TVS

    Pale kwenye dashboard Kuna bush zinaweza kuwa zimeisha au Kuna vitu vimelegea kuanzia kwenye switch
  3. jose mjasiriamali

    Miujiza, Maigizo na Maagizo pale KAWE

    Kuna hospital ngapi bongo?? Vipi angetumia mbinu ya kuwaponya wagonjwa wodini huoni bongo wageni wangekuwa wengi kiadi Gani kutoka mataifa mbalimbali?? Refer kikombe Cha Babu [emoji16]
  4. jose mjasiriamali

    Miujiza, Maigizo na Maagizo pale KAWE

    Kuna hospital ngapi bongo?? Vipi angetumia mbinu ya kuwaponya wagonjwa wodini huoni bongo wageni wangekuwa wengi kiadi Gani kutoka mataifa mbalimbali?? Refer kikombe Cha Babu [emoji16]
  5. jose mjasiriamali

    Miujiza, Maigizo na Maagizo pale KAWE

    Kuna hospital ngapi bongo?? Vipi angetumia mbinu ya kuwaponya wagonjwa wodini huoni bongo wageni wangekuwa wengi kiadi Gani kutoka mataifa mbalimbali?? Refer kikombe Cha Babu [emoji16]
  6. jose mjasiriamali

    Rais kuteua waliotenguliwa ni kuipaka matope ofisi, vinginevyo Serikali itoe ufafanuzi

    Ni kama watu kwenye Hii nchi wameisha,jamaa wanabembelezwa
  7. jose mjasiriamali

    Waliosoma shule za Ufundi (Technical schools) Tukutane hapa

    Kama Mazengo haijatajwa,huu Uzi ni batili[emoji2]
  8. jose mjasiriamali

    Hard disk ya laptop naitumia tangu 2018, Je niendelee kuitumia au niibadili ?

    Ni risk,Fanya back up za kutosha,Zina life span yake ambayo ni 3-5 years kulingana na matumizi Yako pia nafikiri,maana mi kuna moja inapiga kazi hapa ni ya 2015 .ila ni vizuri kuchukua tahadhari.
  9. jose mjasiriamali

    Bei ya alizeti

    Dodoma ni 60-70k Kwa ya mwaka jana
  10. jose mjasiriamali

    Wajuzi na wataalam wa Pikipiki, uliwahi kukutana na ajali gani ulipokuwa barabarani na ukapona?

    Kuna siku nilikuwa mtungi Niko na speed ya kilevi,nilipiga tuta nikatoka kwenye pikipiki nikaenda kuchimbia kichwa Kando ya barabara na Cha kushukuru barabara ilikuwa na kingo za mchanga maana mi barabara za vumbi,nilikuja kushtuka Kama baada ya masaa matatu Niko nimezungukwa na Wana kituo Cha...
  11. jose mjasiriamali

    Ulishawahi kuzidishiwa chenji, ulifanyaje?

    Nilikuwa na jamaa yangu mmoja Moshi enzi hizo hakuna m-pesa,unatumiwa vocha, za elfu 10 ukirusha unapewa elfu 8, Sasa yule jamaa kwenye kurusha akakosea akarusha 1000 badala ya elfu 10,yule mama alivyosikia sauti ya sms kwenye simu yake akatupa elfu 8,baadae tunashituka kumbe alituma elfu moja...
  12. jose mjasiriamali

    Ukinywa bia ngapi unaanza kucheza mziki?

    Umenikumbusha vitindi mkuu[emoji2][emoji2]
  13. jose mjasiriamali

    Natafuta hii tiba ya hili tatizo langu la macho na pua

    Daktari Kama daktari [emoji2][emoji2]
  14. jose mjasiriamali

    Wamama wa Dar mtawaua Wanaume wa mikoani kwa presha

    Dodoma hiyo ,iko barabarani kilomita Kama 60 au 70 toka Dom town Kama unaenda moro
  15. jose mjasiriamali

    Tujikumbushe Walimu wa sekondari waliokuwa wakali sana kiasi cha kuwa maarufu hadi shule zingine

    Sidhani labda Kama unamaanisha 2012,maana mi nilikuwa pale 2009 alikuwa bado hajastaafu
  16. jose mjasiriamali

    Hekaheka Uzeeni

    Hakuna arosto Wala nini ,wavivu lazma wakae[emoji2]
  17. jose mjasiriamali

    SoC02 Maroboti yanakuja kutunyang'anya kazi

    Hii kitu inaogofya,Ila haipaswi kudharauliwa hata kidogo, it's really, Tujiweke tayari.Tutaikubali tukitaka au tusipotaka.
Back
Top Bottom