Search results

  1. luckyline

    Happy birthday to meeee!!

    Hello, Leo birthday yangu wajameni, karibuni kwangu. Namshukuru Mungu kuruhusu nije duniani, lakini pia kunifikisha usiku ya Leo. Asante mama luckyline, kunileta duniani siku kama ya Leo nakupenda sana. Nawashukuru na ma doctors walomsaidia mama kunileta duniani, Dr mmoja alinipa jina la...
  2. luckyline

    Irene uwoya akimbizwa hospital baada ya kupoteza fahamu.

    Wakuu salaam. Nimeona video you tube ikionesha jinsi irene alivyoguswa na kifo cha mzazi mwenzie. Hata kama ni kwa unafiki(kama watu wanavyosema) ila kaonesha nini maana ya mme mtu ukishazaa nae ni zawadi tosha. Kamlilia mmewe hadi kuzimia, sio yale ya Zari mmewe kalala kwenye jeneza yeye yupo...
  3. luckyline

    Mahari yaibiwa siku moja kabla ya kupelekwa kwa bibi harusi mtarajiwa

    Wana jamii salaam: Nianze kusema kuwa alichounganisha mungu hakuna wa kukitenganisha. lakini pia kama ndoa ipo, ipo tu hata kama kutatokea vikwazo gani itafungwa tu. Leo nimeona niwahusishe mkasa huu ulotokea mwezi wa tano. Tulialikwa kwenda kula ubwabwa Rafiki yetu tena Dada yetu kwa umri...
  4. luckyline

    Picha ya Leoooo!

    Suti ya namna hii huwezi kuikuta kwenye maduka ya chator. Na ukiikuta bahati mbaya lazima iwe oversize.
  5. luckyline

    Mazishi/ misa ya Ivani live spark tv

    Kwa wanaotumia king'amuzi cha azam mazishi ya ivan ndo yanaendelea. Kwahiyo unaweza kufatilia live spark tv ya uganda. Kila kitu kiko live watoto wake mda huu wanaweka mashada. Wakifatiwa na ndugu wa ivan, na familiya ya zari wamewaita waweke shada kwa pamoja. Wengine wanaendelea na mashada...
  6. luckyline

    Malkia wa nguvu, jasiri, mchapakazi na mbunifu

    Gdmorning everybody, Wandugu leo ni siku ya wanawake duniani kote. Tunasheherekea na kufurahi. Lakini sio kusheherekea tu bali ni kujivunia jinsi tulivyo wanawake wa nguvu na maendeleo tunayoyafanya kwenye jamii. Wanawake tunaweza hata bila kuwezeshwa. Ingawa wawezeshaji wakiwezesha hakuna...
  7. luckyline

    Somo: House maid kufua towel ya boss wake

    Heloo! Wapendwa leo naomba niongelee usafi wa towel hasa za wanaume maana nina imani kuwa wanaume wote wanatumia towel baada ya kuoga na wanawake wengi ingawa si wote tunatumia kanga/kitenge baada ya kuoga. Kuna kitu nimegundua kua sio sahihi.Iko hivi hapa ninapoishi ndani ya geti moja ziko...
  8. luckyline

    Mama Regina kesho kutikisa jiji la Mwanza

    Hii ni balaaaa duniani, kesho our first lady mama Regina atatia timu jijini mwanza. Hii itakuwa historia ya kipekee. Wakuu kama kawaida yetu mwanza maandalizi tulishaanza kila kona mpaka mafichoni ni ujio wa mke wa raisi wetu mpendwa lowasa. Mama regina njoo ujionee kwa vitendo mahaba...
  9. luckyline

    Elections 2015 Lowassa kuandika historia ya pili jijini Mwanza kesho

    Ni mkombozi wa tanzania mpya ijayo mh raisi Edward lowasa kesho trh 12 atatia team mwanza akitokea musoma. Kila sehemu jijini mwanza ni shangwe, vigelegele, ndelemo ujio wa raisi wetu mpendwa lowasa. Baadhi ya makundi akina mama,wadada tuko kwenye maandalizi ya kipekee, wengine wanaandaa...
  10. luckyline

    Lowassa day, independence day, x-mass day

    Wakuu kuanzia sasa zimebaki siku 3 maarufu hapa Tz na duniania nzima kwa ujumla tutakazo zishuhudia panapo majaliwa kabla ya mwaka huu kuisha. Lowasa day: hii ni siku inayo subiriwa kwa vifijo, ndelemo, shangwe, vigelegele mbwembwe za kila aina pale mh rais lowasa atakapoapishwa kulitumikia...
  11. luckyline

    Ikulu ziko ngapi? Magufuli anataka kwenda Ikulu ipi?

    Wakuu, Haya maneno yanayosemwa eti Lowassa anang'ang'ania Ikulu yananiumiza sana. Najiuliza yeye Magufuli mpaka anafikia hatua ya kufanya vituko majukwaani, yeye anang'ang'ania kwenda ikulu ipi? Wakuu, hili neno eti Lowassa ana uchu wa madaraka linaniumiza sana. Hivi Lowassa...
  12. luckyline

    Kwa mara ya kwanza CCM kuingia Uchaguzi Mkuu bila hata chembe ya uhakika wa kushinda

    Wakuu, Huu ni ukweli kuwa CCM mwaka huu wametia aibu kuliko tulivyozoea. Yaani matukio yafuatayo kwa mgombea pombe na wengine ndo yanathibitisha pigo la CCM kutojiamini na tutafuta njia ya kuwa wachekeshaji majukwaani. 1: Mgombea kubinuka jukwaani kwa pusha ups. Mgombea urais CCM...
  13. luckyline

    Kwetu Mwanza hii ndo hii ndo salamu, Kwenu vip?

    Makamanda kujitambua sio lazima uende chuo. Mwanza tumejitambua na hii ndo salaamu 1: lowasaa---- mabadiliko, mabadiliko----lowasa. 2: wenje--- mabadililo, mabadiliko ---wenje. 3: mwakiaba---mabadiliko, mabadiliko--- mwakiaba. Kwakweli hizi ndizo sauti za madadiliko kutoka mwanza...
  14. luckyline

    Eti mgombea uraisi kutojua kiingereza ni uzalendo? Basi kama ni uzalendo akahamie ACT

    Wakuu wanabadiliko salaam. Nimewaza na kusikitika sana watu mitaani kujisifu eti mgombea wao ni mzalendo sio lazima kuongea kiingereza eti lugha za nyumbani zinatosha. Hivi kweli mtu na phd hawezi kutolea mfano hata sentensi moja kwa kizungu mikutano ya nje ya nchi ataweza?? Ni...
  15. luckyline

    Elections 2015 Tafadhari sana, kumchafua Lowassa kwa uongo iwe mwisho

    Wakuu salaam, ndugu wana jf busara itumike mtu anapokuja hapa janvini kumchafua lowasa kwa uongo. Kama una chuki binafsi tafadhari sana mfate lowassa personary lakini sio kuja hapa kupotosha uma. Ninajua kuna watu walikuwa kwenye system na lowasa na ndo wale wale wanaokuja hapa kutoa...
  16. luckyline

    Kama nimekosea nishaurini jamani

    Wana MMU kwema? Kuna jambo limenitatiza nikafanya maamuzi ila likanilazimu nililete hapa nione ushauri wenu. Ni ivi kuna kijana mmoja tunafahamiana kwa mda mrefu ni just a friend ananiheshimu sana kiukweli hatuna lolote ni heshima tu ya mda mrefu (kwanza si type yangu so mnielewe). Majuzi...
Back
Top Bottom