Malkia wa nguvu, jasiri, mchapakazi na mbunifu

luckyline

JF-Expert Member
Aug 29, 2014
15,160
21,672
Gdmorning everybody,

Wandugu leo ni siku ya wanawake duniani kote. Tunasheherekea na kufurahi. Lakini sio kusheherekea tu bali ni kujivunia jinsi tulivyo wanawake wa nguvu na maendeleo tunayoyafanya kwenye jamii.

Wanawake tunaweza hata bila kuwezeshwa. Ingawa wawezeshaji wakiwezesha hakuna shida maana ni moja ya majukumu yao.

Basi nichukuwe nafasi hii kumshukuru malkia wangu wa nguvu mama yangu mzazi kipenzi kwa malezi mazuri kweli ni malkia wangu wa nguvu siku ya leo.

Luckyline mimi ni malkia wa nguvu ni mchapakazi kwakweli nakushukuru Mungu kuniumba nikiwa mwanamke wa nguvu.

Na la msingi nakushukuru mungu siku ya leo kunipa kazi mpya kweli nimejiona malkia wa nguvu zaidi.

(" uzuri wa ndege manyoa, ila uzuri wa mwanamke kujiamini")

Wanawake wa nguvu wanaojiamini kama mm njooni hapa tuseme lolote juu ya siku yetu ya leo na kubwa zaidi nambie malkia wako wa nguvu leo ni nani?

Qn. Nasikia alipo malkia wa nguvu kuna mfalme wa nguvu ni kweli?
 
dah! mpaka muwezeshwe lakini, so sad! halafu wengi wenu mnajiita walokole lakini mko kinyume kabisa na scriptures!
 
happy women's day
 

Attachments

  • 1457432236185.jpg
    1457432236185.jpg
    26.2 KB · Views: 92
Nshomile Luge anawajaza ujinga na VYETI FEKI na ile NGAO ya kioo mnajiona mmeshakuwa malkia kweli wakati hata kutengeneza kiberiti Hamuwezi, wote mnaishia kutengeneza sabuni za mawingu na kujidai waelimishaji wa ujasiri mali! Ptuuu!

**Heko kina Mama wa Kilimanjaro na Arusha unamkuta mama yupo kwenye FUSO imejaa ndizi anakuja kuuza Dar au Nairobi. Sio hawa wa dar kutwa anaendesha semina za ujasiriamali kichwani empty set.
 
Back
Top Bottom