Mama Regina kesho kutikisa jiji la Mwanza

Mama Regina kesho kutikisa jiji la Mwanza

luckyline

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2014
Posts
15,153
Reaction score
21,801
Hii ni balaaaa duniani, kesho our first lady mama Regina atatia timu jijini mwanza.
Hii itakuwa historia ya kipekee. Wakuu kama kawaida yetu mwanza maandalizi tulishaanza kila kona mpaka mafichoni ni ujio wa mke wa raisi wetu mpendwa lowasa.

Mama regina njoo ujionee kwa vitendo mahaba tunayompa rais anaesubili kuapishwa .

Karibu first lady no moja ambae hajawai kutokea tanzania.

Taarifa hii iwafikie lumumba fc. Kesho mwanza hapatoshi.

Stay tuned.
 
Huyu mwanamke kama ni vita kaipigana...

Vyovyote matokeo yatakavyokuwa hana cha kusikitika maana wajibu kautimiza...
 
Hawa ndio aina ya wanawake ambao wanaume huwa tunawaota kuja kuishi nao, mwanamke hakuachi mwanaume peke yako upambane, anapambana kivyake huku mune unapigana kivyako.

Natamani kupata mwanamke kama huyu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom