luckyline
JF-Expert Member
- Aug 29, 2014
- 15,160
- 21,651
Kwa wanaotumia king'amuzi cha azam mazishi ya ivan ndo yanaendelea. Kwahiyo unaweza kufatilia live spark tv ya uganda.
Kila kitu kiko live watoto wake mda huu wanaweka mashada. Wakifatiwa na ndugu wa ivan, na familiya ya zari wamewaita waweke shada kwa pamoja. Wengine wanaendelea na mashada kanisani
Mond sijamuona sijui yupo mbali na camera? Maana walipowaita familiya ya zari alisindikizwa na wadada! Mbona alisema atakuwepo? Au leo ana show??
Watu wanaendelea kutoa salamu na rambirambi
marafiki zake na team south africa wamehaidi midola ya pesa kwa ajiri ya watoto.
Mazishi tiyari. Marehemu ameacha watoto wanne tu. Ambapo watoto watatu aliwazaa na zari aliyekuwa mkewe kabla ya kuolewa na bwana "mdogo wake "diamond.
Mtoto wa nne wa ivan alitambulishwa leo kuwa hawamjui ila ni wa marehemu.
Lugha inayotumika ni luganda.
Banange kitarooo
nyoo dala.
R.I.P IVAN.