mwl. nyerere ametawala Tanzania kwa takriban miaka 24, lakini nimekuwa nikijiuliza, hivi ni kwa nini vyombo vya habari huwa vinatuonyesha hotuba alizotoa baada ya kung'atuka kutoka madarakani pekee? kwani nini hawatuonyeshi na zile akiwa madarakani? Msaada tafadhali. (Note; if you have no...
Imekuwa ni wimbo kwa wabunge wetu kudai kulipwa hela nyingi kwani wakienda majimboni kwetu wananchi tunawaombe hela. na hata wananchi wakienda Dodoma wanaomba nauli za kurudia makwao. sasa waTz wenzangu, tudai haki yetu kila tuwaonapo wabunge wa wajimbo yetu wakipita popote pale. kwani wanadai...
Sote ni mashahidi kuwa tulishuhudia jinsi vyombo vya magharibi vilivyorepoti juu ya kila kilichoitwa Arab spring, na vyombo vyetu vilikuwa ni photocopy ya vyombo hivyo. Hivi sasa ni zaidi ya miezi mitatu wananchi wa America wapo Wall street wakifanya yaleyale waliokuwa wakifanya watu wa...
Nakumbuka shilingi ya tanzania ilishuka nakufikia thamani ya 1800 kwa dola moja ya Us na sasa imepanda na imefikia 1584 leo. hii inaashiria nini? kipindi ikishuka thamani kila siku zilikuwa zinakuja threads mpya kuripoti hilo lakini mbona sasa wale maripota wetu hatuwaoni? tunawashauri pia...
Mtikila alisema kuwa kuzinduliwa kwa jukwaa hilo ni kuzaliwa kwa tatizo kubwa kwa Rais Jakaya Kikwete na kumtaka ajihadhari, akidai kuwa ajira yake sasa ipo kwenye "danger zone (sehemu ya hatari).
Mtikila, ambaye ana ujasiri wa kutoa kauli zisizo na simile, alisema jukwaa hilo ni gharika kubwa...
POLITICAL CONDITIONS
Tanzania held its fourth multi-party general elections on October 31, 2010. The ruling CCM party faced its most serious competition in the multi-party era. President Kikwete was re-elected with 61.7% of the vote, reduced from 80% in 2005.
The Chadema party was for the...
Jana nimeisikiliza kwa umakini hutuba ya rais wa JMT nikiwa na matarajio makubwa ya vitu viwili ambavyo vinagusa hisia za waTanzania wengi kwa sasa, nayo ni
1. Katiba mpya
2. Dowans
Suala la katiba amenifurahisha. Pia siku zote huwa sina wasiwasi na kikwete kwa vitu vinavyogusa jamii kuvitolea...
Wadau kuna taarifa kuwa kuna mtu mmoja anaitwa willy akishirikiana na foreigners wanachimba na kusafirisha aluminium kwenda Kenya. Inavyojulikana serikalini ni kuwa huyu mtu anachimba chokaa kuipeleka kenya lakini kiuhalisia ni kuwa kwenye magari yake chokaa inawekwa juu tu kuficha kilichopo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.