Wasemavyo wa-US juu ya uchaguzi wetu wa Oct 31, 2010. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wasemavyo wa-US juu ya uchaguzi wetu wa Oct 31, 2010.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ngwendu, Jan 3, 2011.

 1. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #1
  Jan 3, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  POLITICAL CONDITIONS
  Tanzania held its fourth multi-party general elections on October 31, 2010. The ruling CCM party faced its most serious competition in the multi-party era. President Kikwete was re-elected with 61.7% of the vote, reduced from 80% in 2005.

  The Chadema party was for the first time the recipient of the most opposition votes. Chadema's presidential candidate, Willibrod Slaa, took 27% of the vote, while CUF's Ibrahim Lipumba received 8%. Voter turnout, at 42%, was by far the lowest in Tanzanian history; previously, at least 70% of registered voters had cast ballots. Although the elections were conducted without major disturbances or irregularities, Chadema officials raised concerns about voting and tabulation procedures and about the constitutional prohibition on challenging presidential election results following their formal announcement.

  Kwenye red,
  Kama kila wakala wa chama alisaini fomu ya matokeo katika uchaguzi uliofanyika, nakala moja ikabandikwa nje, ingine ikaenda na msimamizi na zingine zikaenda na kila wakala wa kila chama kuna haja gani chadema kulalamika? kwa nini tu wasije na evidence kwa kujumulisha fomu za mawakala wao na kuziweka hadharani? Kwani hizo si zilisainiwa na wote hata msimamizi wakituo? Au wanatafuta huruma tu ya wananchi ili tuwafariji? Hicho kiingereza na maana yake hapo juu ni kutoka CIA.
   
 2. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #2
  Jan 3, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Huwa sipendi watu wanao amini kitu kikisemwa na mtu fulani kina ukweli, huku akiacha na uhalisia wa mambo. kwa mfano juzi nilikaa na mpuuzi fulani anadai Rais wa Ivory coast anayeng'ang'ania madaraka inabidi tuu aachia kwasababu hata Marekani haimuungi mkono. Aibu kwako ngwendu
   
 3. kiraia

  kiraia JF Gold Member

  #3
  Jan 3, 2011
  Joined: Nov 20, 2007
  Messages: 1,614
  Likes Received: 268
  Trophy Points: 180
  Na wewe ni yapi mawazo yako kuhusu Mgogora wa Ivory coast?
   
 4. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #4
  Jan 3, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mkuu ni ukweli uliowazi kuwa USA ni kiranja wa dunia na linaloamliwa washington DC ndo linaloamliwa hapa na sehemu nyingine nyingi duniani.

  Lakini turudi kwenye mada, nimeuliza hivi " Kama kila wakala wa chama alisaini fomu ya matokeo katika uchaguzi uliofanyika, nakala moja ikabandikwa nje, ingine ikaenda na msimamizi na zingine zikaenda na kila wakala wa kila chama kuna haja gani chadema kulalamika? kwa nini tu wasije na evidence kwa kujumulisha fomu za mawakala wao na kuziweka hadharani? Kwani hizo si zilisainiwa na wote hata msimamizi wakituo?"

  May you answer please!

  Mimi naamini katika historia ya Tanzania ya vyama vingi huu ndo uchaguzi uliovunja rakodi ya kuwa very transparent. Ndo maana huwa nawaona kama mnarap tu humu JF.
   
 5. MwanaCBE

  MwanaCBE JF-Expert Member

  #5
  Jan 3, 2011
  Joined: Sep 23, 2009
  Messages: 1,773
  Likes Received: 544
  Trophy Points: 280
  hili sura lako limenichefua sana roho, naomba ulibadilishe plz... Plz... Plz....
   
 6. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #6
  Jan 3, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,668
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Jadili mada achana na sura za watu hapa plz.........plz....plz....plz
   
Loading...