Search results

  1. Kachanchabuseta

    Dr MIHOGO katika UBORA WAKE

    Photo removed
  2. Kachanchabuseta

    JE KESHO LOWASA Atalindwa hivi ikiwa anaende kuchukua FORM NEC?

    TAFAKARI Kitakachotokea kesho ni HISTORIA
  3. Kachanchabuseta

    Mbowe ana kosa kubwa kutokuwepo Bungeni leo tarehe 1 Aprili, 2015

    Hivi Kwanini MH mbowe amekosekana kwenye bunge la leo Kwa mjadala wa cyber crime law angetuokoa kama alivyofanya kwenye katiba pendekezwa Pongezi kwa LISSU na Mnyika wamepigana lakini wanahitaji mtu mwenye BUSARA kama mbowe Maana hawa watu wanatuburuza
  4. Kachanchabuseta

    Picha: Polisi Tanzania walaaniwe kwa kuwatendea wananchi unyama

    Polisi wa Tanzania wamekuwa WANYAMA kwa kuwatendea wananchi UKATILI, HAWA HAWA POLISI wanaishi na sisi uraiani kwanini CCM UNAWATUMIA POLISI KUTENDA UKATILI KWA WANANCHI? ENOUGH IS ENOUGH TUSIPOKEMEA HILI HATA NDUGU YAKO ATAPIGWA NA KUFA UKIWA UNAMUANGALIA SOURCE:UNYAMA!! POLISI WAPIGA...
  5. Kachanchabuseta

    Picha za uongo zinazotumika za Amboni

    Hii picha ya chini ambayo inasambazwa sana kwenye mitandao ya kijamii kuwa mwanajeshi aliyeuwawa SOURCE YAKE HII HAPA 2. hii picha inasambazwa kwenye mitandao ya kijamii hasa hasa whatap na Instragram kuwa wanajeshi wapo kw enye mapambano SOURCE YAKE HII HAPA YA 2008 3. HII ya chini...
  6. Kachanchabuseta

    Wassira style: New style in town

  7. Kachanchabuseta

    Kwa habari hii gazeti la CCM/serikali mgao mkubwa wa umeme unakuja

    Hii serikali inaendeshwa KIHUNI, HII HABARI IMETUGWA KUTUAMINISHA ILI MGAO WA UMEME UANZE HUKU WAKIMTETEA PROF MUONGO Chanzo:Habarileo
  8. Kachanchabuseta

    MADA SHIRIKISHI: Je ikitokea Rais kikwete akawa Mtuhumiwa NO .1 wa ESCROW UTAFANYAJE?

    WanaJf kwa kadri upepo unavyovuma kwa kasi inawezekana upepo ukaelekea magogoni kwa mkuu wa nchi Wiki iliyopita ililetwa tuhuma bila ushahidi na mwanaJF kwa Miraj na Salama Kikwete wamepata mgao Kwa muda unavyoenda Magogoni wanatumia nguvu nyingi kuzuia haya majanga ya Escrow Swali langu...
  9. Kachanchabuseta

    Msaada: Amazon ordering

    Ndugu wanaJf naomba msaada wenu Kuna vitu nataka kuorder kutoka amazon lakini kila nikijaribu kufanya process za malipo napata hii msg Nimejaribu kubadilisha ordering address lakini imegoma, ni vitu vinne ambavyo vinatoka seller tofauti na kote napata the same msg Sorry, this item can't...
  10. Kachanchabuseta

    Mwanachi: Meghji alisajiliwa Bara kamati Bunge Maalum

    KWA UKWELI WENYEWE FATILIA HAPA: Tovuti Rasmi ya Bunge Maalum la Katiba. | [/FONT][/COLOR]
  11. Kachanchabuseta

    Shamsi Vuai Nahodha;Wasanii marufuku kuvaa 'kombati' za jeshi

    Wasanii marufuku kuvaa 'kombati' za jeshi NA JACQUELINE MASSANO Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa imewapiga marufuku wasanii wote nchini kuvaa mavazi yanayofanana na sare za jeshi la wananchi. Onyo hilo lilitolewa jana bungeni na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Shamsi Vuai...
  12. Kachanchabuseta

    Hivi Na huyu ni mtoto wa Kikwete? Anaitwa nani?

    Source: Le MUtuz
  13. Kachanchabuseta

    MSAADA: Machine za kusaga mahindi

    WanaJF naomba msaada wenu Nataka kununua Machine ya kusaga Mahindi hapa Arusha au naweza kuagiza Moshi kwa ajili ya kamrdai kadogo ninakotaka kufungua, Nimefunga umeme wa three phase, na nimeishajenga banda la kuweka machine. Sasa nataka kununua kati ya machine ya kinu cha kusaga size...
  14. Kachanchabuseta

    Nape Nnauye akiombea mchakato wa Katiba

    Nape Nnauye
  15. Kachanchabuseta

    Prof. Issa Shivji: Say No to Tanzania Union

    Hii ni mada aliyoitoa Prof. Issa Shivji (Gamba lililokodiwa kupotosha umma) katika balaza la wawakilishi tarehe 17/01/2013
  16. Kachanchabuseta

    Warioba afunguka, atoa ufafanuzi wa baadhi ya hoja za taarifa yake

    Dar es Salaam. Wakati Ikulu ikitangaza kwamba Rais Jakaya Kikwete amevunja Tume ya Mabadiliko ya Katiba, tume hiyo imetoa ufafanuzi wa baadhi ya maeneo ya Rasimu ya Katiba. Taarifa ya Ikulu iliyotolewa jana, ilieleza kuwa Tume ya Jaji Joseph Warioba ilivunjwa tangu Machi 19, ikiwa ni siku moja...
  17. Kachanchabuseta

    ZITTO: Sitopokea posho ya 300,000 kwenye mbunge la Katiba

    Zitto akilejea barua yake ya 2011 akiwa anaongea na mwandishi wa gazeti la majira amesema hatapokea posho yoyote kwenye hili bunge la katiba. Zitto amesema ametumwa na wanakigoma kuja kuandika katiba wala sio kipokea posho. Zitto ameongezea kuwa kuwa huu ni wizi kwa wananchi yaani mwalimu...
  18. Kachanchabuseta

    KOVA: Mhe. Kapuya HANA Kosa la kuojiwa ni mambo yake binafsi

    Akiongea na wanahabari leo mchana kamanda Kova kasema hawawezi kumuita Mhe. Kapuya kasababu haya ni mambo yake binafsi na hakuna mtu yeyote ambaye amakuja hapa polisi kulalamika kutendewa vibaya na Mhe. Kapuya. "Hata hivyo kamanda Kova kasema kama kuna ushahidi wowote wa kueleweka sio...
  19. Kachanchabuseta

    ONYO: CLOUDS FM Hacha uchonganishi kwenye siasa

    Kwa hili natoa onyo na ushauri kwa CLOUDS FM kuacha tabia yao ya uchonganishi kwenye siasa maana mmeweza kuwavuruga wanamziki na kuwachonganisha na kuwasababisha kupigana na kuuwana lakini naona mnaingia kwenye game la siasa kwa nguvu kuelekea 2015. Kama mnatafuta habari toa habari kwa...
  20. Kachanchabuseta

    UHUNI WA NACTE :YAWATEMA CLINICAL OFFICER Wote 153

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida Nacte imewadanganya wanafunzi wanaotegemea kujiunga na elimu ya chuo kikuu mwanzoni wanafunzi wenye diploma walipoanza kuapply kupitia Nacte walipewa matumaini ya kuchaguliwa lakini baada ya selection ya kwanza kutoka waliochaguliwa walikuwa hawazidi wanafunzi 60...
Back
Top Bottom