ONYO: CLOUDS FM Hacha uchonganishi kwenye siasa

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2010
Posts
7,263
Reaction score
685
Kwa hili natoa onyo na ushauri kwa CLOUDS FM kuacha tabia yao ya uchonganishi kwenye siasa maana mmeweza kuwavuruga wanamziki na kuwachonganisha na kuwasababisha kupigana na kuuwana lakini naona mnaingia kwenye game la siasa kwa nguvu kuelekea 2015.

Kama mnatafuta habari toa habari kwa kubalance source mbili mimi sio mwandishi wa habari wala mtangazaji lakini issue ya kubalance story/news ni kitu muhimu sana, kwa jinsi mlivyoingia kwenye siasa za uchonganishi msije kushangaa LENU LINACHOMWA MOTO siasa sio mchezo kama mnavyofikiri.

Natoa mifano michache leo katika kipindi cha jamaa simujui jina kinaanza sa moja mpaka sa 3 nilisikia akimhoji Zitto, kwa mazingira yale ya maongezi Zitto anawashambulia viongozi wa CDM na wanachama, pia amamshambulia Lema.
Kama clouds FM wangekuwa wanabalance news wangemhoji lema au viongozi wa cdm lakini sio huu uchonganishi.
Zitto na @Jmakamba na wengine wamekuwa wakiojiwa sana pindi wanapoguswa hizi siasa za Clouds ambazo wameanzisha kuna kipindi watajuta

Nakala Kwa Ruge, Mwita25,
 
Last edited by a moderator:
Acha uhuru wa Habari utamalaki wewe! ulitaka ahojiwe na nani? mbona Tanzania Daima wameandika habari za waziri mmoja kiudaku bila hata kupata maelezo yake? na wewe hauhoji?
 
Msala MSALANI nakushauri uchukue hatua dhidi ya Tanzania daima lakini kwa clouds kuna siku wataichoma moto
kuelekea 2015
 
Last edited by a moderator:
Umeandika hacha hivi sio acha?then umeongea kwa ukali sana ungewapa tu ushauri wangeelewa zaidi, nyie wafu fm ila mmemuelewa mkuu?acheni ushabiki wa siasa hasa kupendelea one side
 
Kwa hili natoa onyo na ushauri kwa CLOUDS FM kuacha tabia yao ya uchonganishi kwenye siasa maana mmeweza kuwavuruga wanamziki na kuwachonganisha na kuwasababisha kupigana na kuuwana lakini naona mnaingia kwenye game la siasa kwa nguvu kuelekea 2015.

Kama mnatafuta habari toa habari kwa kubalance source mbili mimi sio mwandishi wa habari wala mtangazaji lakini issue ya kubalance story/news ni kitu muhimu sana, kwa jinsi mlivyoingia kwenye siasa za uchonganishi msije kushangaa LENU LINACHOMWA MOTO siasa sio mchezo kama mnavyofikiri.

Natoa mifano michache leo katika kipindi cha jamaa simujui jina kinaanza sa moja mpaka sa 3 nilisikia akimhoji Zitto, kwa mazingira yale ya maongezi Zitto anawashambulia viongozi wa CDM na wanachama, pia amamshambulia Lema.
Kama clouds FM wangekuwa wanabalance news wangemhoji lema au viongozi wa cdm lakini sio huu uchonganishi.
Zitto na @Jmakamba na wengine wamekuwa wakiojiwa sana pindi wanapoguswa hizi siasa za Clouds ambazo wameanzisha kuna kipindi watajuta

Nakala Kwa Ruge, Mwita25,

Acha kukurupuka wewe, hujasikia mtangazaji anatamka kwamba wanamtafuta LEMA naye wamhoji? Au umesikiliza mpaka katikati ukaacha.
 
Mkuu pole sana kama bado unawasikiliza hawa wenda wazimu
 
Acha kukurupuka wewe, hujasikia mtangazaji anatamka kwamba wanamtafuta LEMA naye wamhoji? Au umesikiliza mpaka katikati ukaacha.

Kanigini naomba unielewa maana na wewe uwelewa wako utakuwa mdogo nimetoa mfano wa Zitto
lakini haya mambo wanafanya sana kumbuka sakata la vurugu mbungeni kwani walikuwa wanamuoji Ndungai peke yake? kipindi Lissu amefukuzwa bungeni kwanini naibu spika ndiyo alikuwa anahojiwa peke yake?

Mkuu Kanigini hawa jamaa wana tabia ya uchonganishi utawatokea PUANI:A S 2152::A S 2152::A S 2152:
 
Last edited by a moderator:
bt mkuu ana hoja ya msingi mkitoa umisukule wenu....refer yaliyotokea kenya mpaka leo mtangazaji ana kesi huge.....si kila kitu ni kupinga
 
Clouds siwapendi....Lakini hapo wenye matatizo ni clouds au zitoo....kwanai zito angewaambia hayo maswala kasha yapeleka kwnye chama yatashughulikiwa na kujibiwa na chama kuna tatizo gani....wabongo vp...mtu mzima utachonganishwa vipi...?
 
Hivi huju Radio clouds inamilikiwa na watu ambao si riziki? TCRA wanalijua hilo.

powerbreakfast = kipindi cha majungu na kinaongozwa na midume miwili chokolaaa na k.a.s.a.g.a.j.i. kamoja hivi.

Leo tena = kipindi cha wamama ni full umbea hadi saa saba.

xxl = kuna watu wanavaa suruwali katikati ya m.a.t.a.k.o ndo waendesha kipindi.

Jahazi = waganga njaaa na mashabiki wa mafisadi, Fisadi akitaka kusafishwa ni kumtafuta kimteremko na kumpa buku

amplifaya = sijui nini kimemkuta alianza vizuri lakini mwisho wake ni aibu tu mtoto mdogo sana huyu.

ucku = kuna ka dada kipindi chote kanajisifu tu, bila shaka unajua maana ya biashara ni matangazo.

ikawa asubuhi ikawa jioni siku ya pili inafuata.
 
Hako kadada ka kipindi cha 'ucku' atakuwa kahaba yule...
 
sasa hapo kosa la clouds ni lipi?
 
Clouds fm ni redio ya watu, in fact hakuna redio inayoifikia hii redio kw matangazo yenye ubora na vipindi vinavyopendwa na watanzania wengi.

Sijaona tatizo la cloudsfm hapo. Wao ni kama kuvunja tv kisa inamuonyesha kinana, ile tv ni chombo tu
 
Kanigini naomba unielewa maana na wewe uwelewa wako utakuwa mdogo nimetoa mfano wa Zitto
lakini haya mambo wanafanya sana kumbuka sakata la vurugu mbungeni kwani walikuwa wanamuoji Ndungai peke yake? kipindi Lissu amefukuzwa bungeni kwanini naibu spika ndiyo alikuwa anahojiwa peke yake?

Mkuu Kanigini hawa jamaa wana tabia ya uchonganishi utawatokea PUANI:A S 2152::A S 2152::A S 2152:

Okay, sorry maana mi nimecomment specific kwa mfano ulioutoa make nimesikiliza mtangazaji akitamka kwamba atamtafuta LEMA.
 
ImageUploadedByJamiiForums1384372279.612820.jpg
 
clouds fm ni redio ya watu, in fact hakuna redio inayoifikia hii redio kw matangazo yenye ubora na vipindi vinavyopendwa na watanzania wengi.

Sijaona tatizo la cloudsfm hapo. Wao ni kama kuvunja tv kisa inamuonyesha kinana, ile tv ni chombo tu

sawa pj
 
Clouds radio kiboko yao ni Sugu,Jide na Jay hapo wanafyata mkia....!
 
Kwa hili natoa onyo na ushauri kwa CLOUDS FM kuacha tabia yao ya uchonganishi kwenye siasa maana mmeweza kuwavuruga wanamziki na kuwachonganisha na kuwasababisha kupigana na kuuwana lakini naona mnaingia kwenye game la siasa kwa nguvu kuelekea 2015.

Kama mnatafuta habari toa habari kwa kubalance source mbili mimi sio mwandishi wa habari wala mtangazaji lakini issue ya kubalance story/news ni kitu muhimu sana, kwa jinsi mlivyoingia kwenye siasa za uchonganishi msije kushangaa LENU LINACHOMWA MOTO siasa sio mchezo kama mnavyofikiri.

Natoa mifano michache leo katika kipindi cha jamaa simujui jina kinaanza sa moja mpaka sa 3 nilisikia akimhoji Zitto, kwa mazingira yale ya maongezi Zitto anawashambulia viongozi wa CDM na wanachama, pia amamshambulia Lema.
Kama clouds FM wangekuwa wanabalance news wangemhoji lema au viongozi wa cdm lakini sio huu uchonganishi.
Zitto na @Jmakamba na wengine wamekuwa wakiojiwa sana pindi wanapoguswa hizi siasa za Clouds ambazo wameanzisha kuna kipindi watajuta

Nakala Kwa Ruge, Mwita25,
..Ww ndio mchonganishi na usie jua maadili ya uwandishi na ndio unaesukuma mapunguwani wenzako waichukie clouds na wtz wachukiane wakumlaumu ni zito na lema na mbowe na slaa wao ndio waloruhusu hawa waandishi kupata maswali yakuwauliza lati lema angemshtaki zzk kwenye vikao husika vya cdm haya yasingetokea. Na laiti kama padri slaa na mkwe wake mtei wangechukua hatua za kuwadhibiti zzk na lema wasilumbane kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii haya yasinge tokea.Lakini jee mbowe na slaa wanao uwezo wa kutatua mataizo kama haya. Mm nadhani hawana kama wengekuwa na uwezo wangetatua kesi ya slaa kupora mke wa mtu lakini wp mambo yalitapakaa kila mahala kwenye majukwaa kwenye vyombo vya habari mpaka mahakamani. Halafu wanataka ikulu ivi wanapajua vizuri ikulu na wanajua matatizo ya ikulu.. watamuweza kagame na bbi banda? Usikimbilie kutafuta mchawi wa cdm mchawi i Mbowe.slaa na lema..waache clouds wafanye kazi yao hongera clouds kwa kutuhabarisha.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom