Kachanchabuseta
JF-Expert Member
- Mar 8, 2010
- 7,263
- 685
WanaJF naomba msaada wenu
Nataka kununua Machine ya kusaga Mahindi hapa Arusha au naweza kuagiza Moshi kwa ajili ya kamrdai kadogo ninakotaka kufungua,
Nataka kununua Machine ya kusaga Mahindi hapa Arusha au naweza kuagiza Moshi kwa ajili ya kamrdai kadogo ninakotaka kufungua,
- Nimefunga umeme wa three phase, na nimeishajenga banda la kuweka machine.
- Sasa nataka kununua kati ya machine ya kinu cha kusaga size 75 motor HP 30 au size 50 motor HP 30
- Swali: Machine size 75 na 50 matumizi yake kwa umeme yanaendaje? nataka kujua kusaga kilo 10 au 20 unatumia UNIT ngapi za UMEME