Nape Nnauye akiombea mchakato wa Katiba

Nape Nnauye akiombea mchakato wa Katiba

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2010
Posts
7,263
Reaction score
685
9.jpg


Nape Nnauye
 
Last edited by a moderator:
Duu karejea dini ya marehemu baba yake Mzee Moses Nnauye maana alikua muislam na huyu Nape majuzi kafunga ndoa kanisani?Au hapo ni danganya toto kwa waislam maana waislam tumezoea wanasiasa kutudanganya kwa mavazi huku wakituacha bila UNIVERSITY au HOSPITAL ya maana kama kcmc au Bugando
 
Afanye swala za mwisho mwisho, ustaadhi edo akichukua bendera ya chama, hapati hata ujumbe wa shina
 
Sala ya mkosaji ni makelele tu mbele za Mungu...
 
Unafiki! Mungu yupi anaombwa hapo? Huyu jamaa kachangia hali tuliyomo sasa 100% na Kinana wake ( ambaye sasa sijui yuko wapi)
 
Kuna watu wanaigiza?? Mbona faizafoxy hamuiti huyu kafiri??
 
Duu karejea dini ya marehemu baba yake Mzee Moses Nnauye maana alikua muislam na huyu Nape majuzi kafunga ndoa kanisani?Au hapo ni danganya toto kwa waislam maana waislam tumezoea wanasiasa kutudanganya kwa mavazi huku wakituacha bila UNIVERSITY au HOSPITAL ya maana kama kcmc au Bugando

KCMC na BUGANDO hazikusimama kwa jasho la wanasiasa mkubwa.....ni nguvu za makanisa ile......yu just pull up yo socks mtapata tu na nyie.....
 
Duu karejea dini ya marehemu baba yake Mzee Moses Nnauye maana alikua muislam na huyu Nape majuzi kafunga ndoa kanisani?Au hapo ni danganya toto kwa waislam maana waislam tumezoea wanasiasa kutudanganya kwa mavazi huku wakituacha bila UNIVERSITY au HOSPITAL ya maana kama kcmc au Bugando

Nape hajawahi kuwa mtoto wa Moses Nnauye..
 
Back
Top Bottom