Wana Jf, kama mnakumbuka kipindi Mrema akiwa waziri wa mambo ya ndani wananchi wenye vilio walijipamga foleni ndefu kumlilia asikilize vilio vyao.
Walipata ahueni japo kwa kusikilizwa tu. Walimshangilia na kumpenda hata kama Mrema alikosea hapa na pale. Mrema alikuwa maarufu kwa kutoa siku saba...
Ndugu wanaJF
Napenda kutoa maoni yangu kuhusu haja ya kuangalia hali ya uendeshaji mambo kule vijijini kwani kwa sasa wafanyakazi wa umma ndio wanekuwa wakishugulikiwa zaidi.
Kijiji ni mahali muhimu sana katika maendeleo ya nchi. Ikiwa mambo hayaendi vizuri vijijini maendeleo hayataweza...
Tumeshuhudia mengi katika kipindi hiki cha awamu ya tano. Kumekuwa na msuguano katika medani ya siasa tangu bungeni hadi huko mitaanani.Kubwa ni kwamba wapinzani wanasema demokrasia inapigwa teke. Mamlaka inakataa hilo na kutumia vyombo ya dola na hata kutoa kauli kupinga hii dhana ya wapinzani...
Wana JF, Salaam
Kutokana na yanayotokea ndani ya CCM kwa sasa kuna dalili za kuwepo kwa kura za hasira kuanzia sasa hadi uchaguzi mkuu.
Kwa mfano kuna uwezekano wale waliokuwa wakiwashabikia watia nia fulani ambao hawakupita wakapiga kura za hasira na kusababisha matokeo tofauti na matarajio ya...
Humu JF kuna utamaduni umezuka. ikiwa mtu atakikosoa chama fulani basi wapezi wake watamshambulia vilivyo huku wasio wapenzi wa chama hicho wakitoa likes nyingi tu.
Nadhani ifike mahali tujiulize ni kwa nini chama fulani kinapata wakosoaji wengi kuliko vyama vingine. wapenzi wa chama hicho...
Shule za binafsi huweka wastani wa alama za ufaulu ili mtoto aweze kuendelea na masomo. Shule moja hapa Dar imeweka wastani wa alama 61. sasa mtoto mmoja kapata wastani alama 59 tena kwa kujipinda hasa.
Lakini shule imemlazimisha kurudia kidato. mtoto kaumia hasa hana raha kabisa.
Hili tatizo...
Wanajamvi nawasalimu na kuwaomba tujipongeze kwa kuingia mwaka mpya wa 2015.
Napenda kushauri tu kuwa mafunzo ya kijeshi yanayotolewa kwa mujibu wa sheria yazingatie mahitaji ya sasa.
Wakati yalipoanzishwa miaka ya 1960 vijana waliojiunga na mafunzo hayo walikuwa na uhakika wa kupata ajira...
Tumeshuhudia katika sakata la Escro Prof. Tibaijuka na wenzake wakikumbwa na dhoruba kali iliyowatoa ulingoni. Katika chama cha mapinduzi CCM kuna mtu aitwae Chenge naye alipokea kiasi sawa na Tibaijuka. Kama chama hiki ndicho kinachotawala, tena kina maadili na miiko yake kwa nini kisichukue...
CCM ina watu wengi material kwa kiti cha urais. Tatizo kubwa ni wale wanye nafasi ya kumpendekeza. Ikiwa wapendekezaji/wateuzi watazingatia msemo maarufu wa "mwenzetu" ujue hatuwezi kumpata rais bora kutoka CCM. Neno "mwenzetu" ni yule atakayewajali, kuwalinda na kuwaenzi waliomteua; ni yule...
Wazazi wa binti mmoja hapa Dar es Salaa wamezuia ndoa ya binti yao iliyokuwa ifanyike katika kanisa moja hapa Dar es Salaam kwa madai kuwa hawakuwa wamepokea mahari wala hawakuwa wamujulishwa kuhusu mchakato wa maandalizi ya harusi.
Walishtukia katika hatua za mwisho ambapo matangazo yote ya...
Tangu kituo cha mabasi cha mwenge kihamishiwe Makumbusho foleni imezidi sana na kuwa kero kuanzia Mwenge hadi Makubusho kwenyewe.
sababu kubwa ni kuwa mabasi yote yaliyokuwa yanatokea barabara za Sam Nujoma, Tegeta, Kawe na yale ya Sinza kuishia Mwenge yamelazimika kuingia barabara ya...
wakuu, naomba mjuzi wa kutengeneza pop corn zilizo bora na zitakazopendwa na wateja kwa ladha yake. tunayo machine ya pop corn lakini tunakosa ujuzi wa kuweka manjonjo hivo tuko tayari kujifunza kwa wenye uzoefu.
Salam wakuu, tafadhali someni na mchangia kwa utlivu
Faida za muungano
Kusema kweli faida za muungano zinaweza kuelezwa vizuri zaidi na wale walioamua kuungana siku ya kwanza. Kila mmoja alikuwa na matarajio Fulani ambayo tukimuuliza kwa sasa anaweza kutueleza kama yamefikiwa na kwa kiasi gani...
Katika bunge la katiba walio wengi wanaongozwa na hisia za ushabiki na makubaliano kama kundi moja. Kwa mfano husema walio wengi walizaliwa tanzania hivo hawaijui tanganyika. Hawajadili hoja kuwa tanzania ilijengwa katika hali ya makosa ambayo yanatakiwa ksahihishwa. mfano Nyerere alizaliwa...
Kaika hatua hii ya bunge la katiba ni wazi kwamba mchakato unatia shaka kuhusu hatima yake kwa mantiki kwamba:
huwezi kuwa na serikali tatu bila hatari ya kusambaratika muungano.
huwezi kuwa na serikali mbili moja ikiwa na utambulisho wake na mamlaka yake huku nyingine ikiwa domant ukaita huo...
Ukichunguza sana utagundua kuwa serikali ya JK inafanya kazi kama dereva na CCM kama konda, wakati fulani dereva anafuata taratibu za udereva lakini konda anataka kumpeleka puta dereva. kwa wale wa mjini maneno kama "kula boda"; "usiache kichwa"; "Vichwa hivyo"; "acha hizo kokoto/chenga"; "...
Wadau bila shaka mtakubaliana na mimi kuwa jina CCM lina historia ya muda mrefu. Historia ya CCm inaanza katika vuguvugu la kudai uhuru wa nchi mbili za tanganyika chini ya TANU na Zanzibar chini ya ASP. Wanachi wa nchi hizi walivipa majukumu mazito vyama hivi. mara baada ya uhuru Tanganyika na...
CCM hawakuwa na agenda ya katiba mpya katika manifesto yao ya uchaguzi 2010. hawakuwa na suala la serikali moja wala tatu bali mbili. sasa ni kwa nini wanatuburuuza katika suala hili? utaona wamepitisha mswada harakaraka bila wapinzani, kwa nini?
Kuna mtu mmoja tu duniani amepata umaarufu uliopitiliza kwa sababu tu ya kusamehe. wangapi wanajua kuwa pamoja na mambo mengine kama kuondoka madarakani mara baada ya miaka mitano tu kubwa kwa Mandela ni kuwasamehe watesi wake? Basi jamani nasi Watanzania tujifunze kusamehe. haya ni maajabu ya...
wanafunzi wamegeuka chinjachinja wanatembea na mabisu kweny mabegi yao. wanaandika maandishi ya hatari, wanajiita majina ya hatari. Sijui wanaathiriwa na hizi movies za mauaji kwenye ma tv?a anglai hili begi la mwanafunzi na vilivyokuwemo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.