JE, WAPINZANI WANALETA FUJO AU WANAKOSOA?

mzamifu

JF-Expert Member
Mar 10, 2010
6,379
3,826
Tumeshuhudia mengi katika kipindi hiki cha awamu ya tano. Kumekuwa na msuguano katika medani ya siasa tangu bungeni hadi huko mitaanani.Kubwa ni kwamba wapinzani wanasema demokrasia inapigwa teke. Mamlaka inakataa hilo na kutumia vyombo ya dola na hata kutoa kauli kupinga hii dhana ya wapinzani.
Ikiwa tu wakweli ni upande upi hasa uko sahihi? Je nia ya upinzani ni kukosoa au kuleta fujo?
Naomba ninukuu kwa kifupi tu maneno ya Mwalimu Nyerere katika hotuba yake kweny LEGCO mwaka 1954.
"... I know the authority - the authority on top in particular- do realize that there is a big difference between trouble- mongering and criticizing Government justifiably. there is a great difference. Sometimes, I am concerned that the difference may not be very easy to distinguish ...I don't really think that people in Tanganyika ( who have been very happy for many years) are planning trouble. I am certain that every African wants to see this country peaceful, because it is only through peace that he can get the things he wants and that is development ..."

Lema E. (Ed) (2004) Nyerere on Education/Nyerere Kuhusu Elimu, Dar es Salaam: Haki Elimu

Objectively tunawezaje kuitathimini hali ilivyo sasa bila kupendelea upande wowote au kukashifiana?
 
Wapinzani wanatakiwa waishauri serikali,kwamfano ACT wazalendo ni washauri wazuri tu.kuna hao wengine,usipofungwa gerezani unaonekana msaliti.siwataji jina ila wenyewe wakishalewa viroba,utawasikia pepooz!ukiwauliza maanake nini?watakujibu ni kibwagizo chetu.
 
Back
Top Bottom