mzamifu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2010
- 6,410
- 3,876
Katika bunge la katiba walio wengi wanaongozwa na hisia za ushabiki na makubaliano kama kundi moja. Kwa mfano husema walio wengi walizaliwa tanzania hivo hawaijui tanganyika. Hawajadili hoja kuwa tanzania ilijengwa katika hali ya makosa ambayo yanatakiwa ksahihishwa. mfano Nyerere alizaliwa wakati wa ukoloni lakini aliupinga kwa kuwa haukuwa halali. Walio wachache wanajenga hoja kwa mifano na takwimu ambazo ni proven facts. Kama ilivyo hata kwenye dini wema huwa ni wachache sana. Watakatifu pia ni wachache. Kwa hivi japo wachache wanapuuzwa maoni yangu ni kwamba hawa ndio wema na watakaotuletea katiba bora. Walio wengi ni kama wanaelekea motoni na wengi wamenaswa kwenye mtego.