Search results

  1. ADAM SMITH

    Msaada kuhusu special drawings rights

    Naomba kujua maana ya special drawings rights(SDR) ya IMF na jinsi inavyofanya kazi kwa nchi wanachama.
  2. ADAM SMITH

    Msaada mtandao wa Twitter/X

    Kila nik retweet na ku replay twits kwenye gage na followers wangu inakataa na kuandika can not retweet, mwenye kujua shida nini, naomba msaada
  3. ADAM SMITH

    Researchers msaada tafadhari

    Naomba msaada wa haya maswali. (a) Formulate a business research title of your choice (b) Identify three independent variables and one dependent variable from your title in (a) above (a) Create a conceptual frame work showing the relationship between independent and dependent variables...
  4. ADAM SMITH

    Naomba kujuzwa kuhusu barcode na matumizi yake

    Naomba kujua maana ya bar codes na matumuzi yake.
  5. ADAM SMITH

    Msaada

    Mwenye soft copy ya kitabu cha the secret of daily teachings cha Rhonde Byrne anisaidie.
  6. ADAM SMITH

    Msaada wa soft copy ya vitabu, pamhets, kwa masomo ya uchumi na accounts A level na professional studies

    Wakuu naomba msaada kwa mwenye soft copy ya vitabu, pamhets kwa masomo ya uchumi na accounts A level na professional studies
  7. ADAM SMITH

    Biashara ya asali mbichi

    Habari wanajamvi, nauza asali mbichi ya nyuki wakubwa na wadogo kwa bei ya jumla na rejareja. Napatikana bukoba ila naweza tuma mzigo popote ulipo. Asali safi kutoka tabora. Mawasiliano 0757769990 Sent using Jamii Forums mobile app
  8. ADAM SMITH

    msaada wa kuondoa retriving information from server error

    habari wana jamvi, naombeni msaada wa kutoa hii error (retriving information from server) maana nashindwa kundownload application yoyote kwenye google play store, asanteni
  9. ADAM SMITH

    Nitawezaje kununua Hisa za makampuni yaliyosajiliwa DSE, kama nipo mikoani

    habari wakuu, mimi nipo mkoani na nina mpango wa kununua Hisa sa kampuni mojawapo iliyosajiliwa dse, tafadhari anayejua mchakato wake, anijuze
  10. ADAM SMITH

    njoo bukoba nije mwanza mjini

    mimi mwalimu ambaye nipo manispaa ya bukoba natafuta mwalimu wa kubadilishana nae kituo kwenda mwanza mjini...tuwasiliane kwa 0789152076
  11. ADAM SMITH

    mwalimu anayetaka kuja bukoba mjini kutoka mwanza jiji pita hapa..

    mimi ni mwalimu wa shahada ajira mpya, nahitaji mwalimu wa kubadilishananae kituo. Npo bukoba manispaa. Mawasiliano yangu ni 0789152076
  12. ADAM SMITH

    Vyakula vinavyoongeza nguvu za kiume

    Habari wanajamvi. Mimi natokea unyamwezini ambapo hutumia asali ya nyuki wadogo ikichanganyw na mdarasini kitu inakuwa kama mti mkavu. Kwenye mechi lazima mtoto aombe maji ya kunywa, je hapo maeneo ya kwenu mnatumia vyakula gani vya asili kuongeza nguvu za kiume? Naomba kuwasilisha.
  13. ADAM SMITH

    Pesa za kujikimu za Walimu wapya manispaa ya Bukoba bado hazijalipwa zote.

    wakati walimu wengine wapya katika halmashauri nyingine kama ilemela,kigoma mjini,kakonko nk..wakiwa wamepew pesa ya kujikimu ya siku saba. Walimu wapya wa bukoba mjini wamepew pesa ya siku tano tu, yaan elfu 65 kwa shahada ambayo n 325000 na elfu 45 kwa stashahada. Ambayo ni 225000. TAMISEMI...
Back
Top Bottom