ADAM SMITH
Member
- Apr 8, 2014
- 81
- 23
Naomba kujua maana ya bar codes na matumuzi yake.
Bar code ni kama utambulisho wa bidhaa. Yani ukiwa na bar code scanner ukiscan bar code ya bidhaa utapata information zote kuhusu hiyo bidhaa. Bei yake, mtengenezaji, expire date, uzito n.k.Naomba kujua maana ya bar codes na matumuzi yake
Asante sana kiongoziBar code ni kama utambulisho wa bidhaa. Yani ukiwa na bar code scanner ukiscan bar code ya bidhaa utapata information zote kuhusu hiyo bidhaa. Bei yake, mtengenezaji, expire date, uzito n.k.
So bar code ina contain information kuhusu product.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Ama kweli JF na Google ni mtu na mdogo wake. Heko Maxence Melo & Moderator wote bila kumsahau Modern programmer
Shukrani sana Mkuu. Nikutakie matumizi mema ya JF.Ama kweli JF na Google ni mtu na mdogo wake. Heko Maxence Melo & Moderator wote bila kumsahau Modern programmer
Anzisheni upenu (platform) fulani JF ambapo contents reviewed zinakuwa reflected, zile ambazo zimechujwa na kuhakikiwa. I mean, sometimes kuna ukweli na uongo, porojo na vimbwanga pale maelezo fulani yanapotakiwa. That platform itakuwa inawasilisha approved contents only.Shukrani sana Mkuu. Nikutakie matumizi mema ya JF.
Kwa maana hiyo ile iliyopo kwenye vyeti vya taaluma inacontain taarifa za mwanafunzi pamoja na matokeo?Bar code ni kama utambulisho wa bidhaa. Yani ukiwa na bar code scanner ukiscan bar code ya bidhaa utapata information zote kuhusu hiyo bidhaa. Bei yake, mtengenezaji, expire date, uzito n.k.
So bar code ina contain information kuhusu product.