Mtakup mfano japo mimi sikusoma
Title "An account for the factors for business failure as a startup among youth"
Hyo title Kuna jinsi ya kuweka vizuri isomeke kama research maana mi sikusoma shule kabisa
Sasa utakuja kweny izo factors zako hapo Kuna variable yaani vitu vinavyoleta kama change au impacts kweny topic husika
Kuna independent variable hizi ziko constant hazibadiliki hizo n huwa zinakuwe tested
Dependent ,zinakuwa ni causes or factors zinaleta effect katika independent
Rudia kusoma utapata jibu vizur
Sasa mfano title yako katika title y'all ndo **** variable zako utachambua vile independent na dependent kutokana na vigezo mtakupa mfano katika title hapo juu tuna factors for business failure na kingine a startup among youth
Hapo hizo factors na business startup ni variable mbili katika title moja ya research
Sasa Kwa knowledge yangu ndogo izo factors ndo dependent variable lakini hapa zinasimama izo factors Kwa kujiztaji mfano lack of eoung capital, low knowledge on how to initiate business Sasa izo ndo dependent variables zako unazotakiwa kuonyesha hata kweny research framework
Business startup itakuwa kama independent varible
Unapokuja kuchora conceptial ni simple sana hyo frame work simple sana boss wangu unaweza kuweka maduara sema uwe mchoro unajieleza
Mimi sikusoma boss wajuzi watanikosoa ila nimekupa mwanga nliishia form 2