Search results

  1. Mamushka

    Missing You Big!

    Habari zenu humu ndani, nimewamiss na ninawapenda sanaaaa!
  2. Mamushka

    Bazazi

    Habari zenu people, Mi nina swali tu, hivi Bazazi manaake nini? nakunatofauti gani kati ya Bazazi na Fataki?
  3. Mamushka

    Ramadan Kareem.

    Mes amis que nous sommes tous les enfants de Dieu, je tiens seulement à souhaiter à tous les Ramadan kareem même si l'im chrétiens, mais je vous souhaite à tous. Que Dieu vous bénisse tous.
  4. Mamushka

    Magufuli, nishati na madini ingekuaje?

    Habari zenu wadau, Sijui kwanini natamani sana kuona wizara ya Nishati na Madini, angepewa John Magufuli hata kwa muda mchache tu. Najiuliza sana sijui ingekuaje au angefanya nini, au ndo angeanza kwa kutimua maelfu ya watu, au mpaka sasa umeume ungekua umesharudi ndani ya wiki moja, natamani...
  5. Mamushka

    Nimjibu nini binti wa aina hii.

    Habari za weekend people, nimekosa la kufanya nikaona niulize kwenu wadau Mimi naishi na wadogo zangu wawili wakike na wakiume wakiume anafanya kazi, wakike yuko chuo ila anafungua mwezi huu ataondoka. Sasa tuna house maid wetu ambaye mimi ndo nilimleta kutoka mwanza vijijini...
  6. Mamushka

    Wanaume na vituko vyao.

    Hi my people! Kunamambo hua najiuliza nakosa jibu naishia kucheka mwenyewe, hivi kwa nini wanaoongoza kwa vituko niwanaume? Utakuta amechumbia mwenyewe akaoa baada ya muda ooh sikutaki nilikuoa kwa bahati mbaya. Haya utakuta kalewaa mpaka kakutwa kalala barabarani ni mwanaume huyo, haya unakuta...
  7. Mamushka

    Linalo nitatiza

    Habari za toka mwaka jana wana Jf. Kwanza na mshukuru mungu kutupa uzima. Kuna jambo limekua likinitatiza kwa muda mrefu sasa, sijawahi kupata jibu na nimeshawahi kujaribu kuchunguza kwa wahusika kwa kuuliza maswali flani pengine ntapata jibu lakini wahusika hua hawako wazi. Yeyote anaeweza...
  8. Mamushka

    Wakumaliza nae mwaka.

    Wapendwa wana Jf, kama tunavyoona mwaka ndo huo unamalizikia, mimi Mamushka ninatafuta mtu wa kumaliza nae mwaka. Sifa. Awe mwanaume mrefu, mweusi kiasi, aliejazia kakomaa mwili kidogo ila sio usoni iwe kwa mazoezi au ndo alivyozaliwa haijalishi. Kazi yake sio muhimu sana kwangu japo engineer...
  9. Mamushka

    Ananitia hasira

    Wapendwa wadau wa Jf, huyu mkaka ananitia hasira sana, ni mtu tunafahamiana kidogo japo hakua rafiki, mara kaamua kutangaza nia yake kwangu, ukweli ni mkaka mzuri tu anaonekana ana moyo mzuri shule kaenda kaelimika, aliniambia angependa awe na mimi kama wapenzi, ukweli nilimwambia NO siwezi...
  10. Mamushka

    Je mwanaume mwenye tabia hizi anafaa kua mume?

    Habari zenu wana JF, Napenda kuomba msaada wenu wa mawazo ili na mimi nipate ushauri wenye hekima. Nina rafikiangu alipata mchumba wakati yule kaka anamuomba dada huyo awe mchumba wake mungu akijalia wawe mke na mume dada alikataa akawa haamini kama nikweli, lakini baada ya huyo kaka kumfwatilia...
  11. Mamushka

    Ananipenda mimi na mdogo wangu nisaidieni.

    Jamani wadau nisaidieni, kuna mtu alikutana na mdogo wangu akampenda sana, akamfwatilia bila mafanikio, then akakutana na mimi akachanganyikiwa zaidi na mimi nikasema no sasa karudi kwa mdogowangu tena yani hizi air time za bukukumikumi nianatuma kama hana mawazo, akitolewa nduki anarudi kwangu...
  12. Mamushka

    Jambo!

    This is mamushka in, just wanting to say hello!
Back
Top Bottom