Mamushka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2010
- 1,595
- 100
Wapendwa wadau wa Jf, huyu mkaka ananitia hasira sana, ni mtu tunafahamiana kidogo japo hakua rafiki, mara kaamua kutangaza nia yake kwangu, ukweli ni mkaka mzuri tu anaonekana ana moyo mzuri shule kaenda kaelimika, aliniambia angependa awe na mimi kama wapenzi, ukweli nilimwambia NO siwezi ninamambo mengi sana hilo nimeamua kuliweka kando kwanza, akawa muelewa akasema poa bt lets be good friends nikakubali tukawa tuna chat, na hata alisha wahi ni invite mara kadhaa kwa drinks then kilamtu anacha lapa home, mimi kuna vitu vinaniudhi sana toka kwake, anaweza kunipigia sim ananiita my honey, au my darii yani kwanza kuniita my honey hua inanibore sana, then my darii ndo kabisa kwasababu mara ya kwanza nilikua sijui ana maanisha nini (darii), nabaki na uliza mara mbili mbili umesemaje? Ndo sananiambi sorry nimekuita mpenzi, anaweza akanipigia kunisalimia then anauliza unafanya nini na mwambia, halafu yeye ananiambia mi niko home nimemaliza kura warii na nyama na viazi mvilingo, sasa mi anavyoongea ananiudhi, kuna siku tulikutana kwa drinks tukiwa group, kila saa anacheua mbele yetu hata hasemi excuse me, mi ananiudhi bwana mpaka nikamwambia uwe una sema hata sorry, akasema sawa hata mdada mwingine juzi kanikataza kunya kitu kama soup au chai na vuta kwa sauti na mdomo fyuuuu, lakini mi naona hawezi kuacha sijui, au mi ndo nafanya dhambi navyo udhika mnisamehe kama wapo wa tabia hiyo pengine si mimi tu ninaekerwa na tabia hiyo. JESUS IS MY HOME BOY.