Maisha ya Saut yalikuwa matamu sana, nikikumbuka mashindano ya Fawasco, Prolife, nikikumbuka kusumbuana na washikaj kwenye kuandaa assaignment kwenda kupresent, quiz za kushtukiza, kuwa na kipindi siku ya Jmosi tena saa 9 mchana.
Sitasahau kamati kwa wale waliosoma Saut wanajua "kamati" "mzora"...
Hii GB 5 kwa 2000 kutoka voda nishaitafuta lakini wapi sijui ni vigezo gani vimetumika baadhi ya wateja kupewa kwenye menu yao me naambulia MB 400 kwa buku elfu 2 kwa 1.5GB zitumike ndani ya masaa 24
Kwa hayo majibu aliyomjibu huyu muuzaji masikini sijui alivyosoma tu akafikiria nn kichwani mwake, maana haiingii akili hata kidogo biashara na ilo jibu
Kama ni mdada naona kuna opportunity kwa sasa ukiwa chuo unaweza kufanya japo inahitaji kidogo upate mafunzo, kwa upande wa kina dada zetu kwa sasa make up imeshika kasi sana kama unavyojua chuoni sherehe hazikosekani kama picnic, wengine wanatoka out hasa siku za weekend unaweza kuwa...
Nimepanda uber mara mbili nimepata faraja sana juu ya teknolojia, nilitumia promo code iliyotolewa hapa na mdau ya elf 6500 nilipandia kinondon facebook mpaka sinza kwa Remmy nikawa na wasaa mzuri wa kumhoji dereva mambo mbalimbali zikiwemo na changamoto zake, tulivyofika mwisho wa safari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.