Search results

  1. trust112

    Muongozo jinsi ya kufungua duka la pembejeo za kilimo na mifugo

    Tafadhali mwenye ufaham naomba msaada kujua utaratibu na mchakato mzima mpaka kupata kibali cha biashara hiyo
  2. trust112

    Natafuta mchumba mwenye lengo la ndoa na kuanzisha familia

    Seems u r gold digger!!
  3. trust112

    Mjue Salum Sumry, kutoka kuachana na biashara ya mabasi hadi kuamua kujikita kwenye kilimo biashara

    Kaona mbali sana ila kikwazo serikali...haisupport "kilimo biashara",...
  4. trust112

    Jakaya Kikwete analima lakini Graduates kutwa na bahasha za khaki kutafuta Sehemu za Kujitolea

    Mkuu jaribu kuacha Nazi anza kulima,ila usisahau kutupatia mrejesho wa faida uliyoipata baada ya mavuno ya kwanza
  5. trust112

    Rais Magufuli mpandishe cheo askari wetu kwa Ushujaa wake

    Yule askari hawezi kutangazwa,huwa ndani ya jeshi
  6. trust112

    Rais Magufuli mpandishe cheo askari wetu kwa Ushujaa wake

    Ule in utovu wa nidham!!! Am sure lazima atachukuliwa hatua za kinidham!! Askari hupaswi kuwa na jazba,bunduki sio bakora bwana
  7. trust112

    Rais Magufuli mpandishe cheo askari wetu kwa Ushujaa wake

    Ushujaa gani unafyatua risasi hewani sababu ya maneno tu... Pamoja na Malima kupelekwa mahakamni yule askari anapaswa kuchukuliwa hatua za kinidhamu kwa matumizi mabaya ya silaha
  8. trust112

    Adam Malima afikishwa Mahakama ya Kisutu na kusomewa shtaka la 'Kumzuia askari kufanya kazi yake'

    Hapa kinachoonekana kwa wana jamvi wengi wako negative kwa Mr Malima,twende turudi nyuma askari wengine wanakera kilichotakiwa Malima angekua mstaarabu....ila pia na yule askari si mstaarabu hata kidogo "ooooh mkanda wa bendera"...yote ya nini hayo!!!!...kama waliona Malima mkosaji wangemchukua...
  9. trust112

    Fao la kujitoa lafutwa rasmi

    Mmeipenda wenyewe.... Kidumu chama cha mapinduzi....soma namba sasa
  10. trust112

    Trafiki siyo kazi yake kukamata Bima na Vehicle, wanaingilia majukumu ya wengine una haki ya kukataa

    Bima ni lazima!! Road licence traffic haimhusu ingawa huwa wanawatisha watu,una uhalali wa kukataa kupigwa fine
  11. trust112

    Kenya waagiza sukari na unga kutoka Israel

    Kilimo in sayansi...nchi yetu imetupilia mbali swala LA kilimo zimebakia Sera ambazo hazitekelezwi,wakulima wamekata tamaa watu wanalima wanapata mazao soko linawaangusha,in short there is no support from gov.. Kipaumbele in viwanda vya mawazo kwa sasa... Adui mwombee njaa.....
  12. trust112

    Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    Natafuta lg TV inch 32 ambayo ni mbovu ila display yake iwe nzima,mwenye nayo ani pm
  13. trust112

    FNP90 BUNDUKI hatari saana

    Zipo nyingi sana kwenye kambi za majeshi yetu zilitekwa kutoka Uganda baada ya kumpiga IDD amin 1977
  14. trust112

    FNP90 BUNDUKI hatari saana

    Mbona haina tofauti na ile smg-uzi ya Israel?
  15. trust112

    Kuombewa na mtumishi wa Mungu GeorDavie ni laki moja kwa kila mtu

    Hao ndio manabihi wadanganyifu na siku za mwisho zimekaribi kama ilivyoandikwa kwa bible
  16. trust112

    Physics ya A- Level inanitesa

    Pole sana kijana kaza buti sie tumesoma wakati tech haiko advanced Leo hii ni daktari,hamna kisichowezekana chini ya jua....komaa tu
  17. trust112

    Siku ya Kwanza Kuongea Kiingereza mbele ya Kadamnasi kidogo nizimie

    Hatari sana....achana na kithungu cha mbele ya kadamnasi!!!.…..mbaya zaidi class kuwepo na wapenda sifa wasioelewa na maswali lukuki...patamu hapo unaweza omba ardhi ipasuke
  18. trust112

    Medicins Sans Frontieres (MSF) ni nani?

    Uliombaje kazi kama hujui wanajishughulisha na nn? Anyway ni shirika la watoa huduma za afya lisilo na mipaka kwenye majanga na wakimbizi kwenye kambi zao.. Alafu usiwe kilaza namna hiyo ndugu hebu Google web yao usome kwa maelezo zaidi
  19. trust112

    Kama Kawaida watu na media za Magharibi zina Ripoti habari kwa Ushabiki majanga ndo wanayapenda

    Ni kweli barabara zetu nyingi ni mbovu na zipo chini ya kiwango
Back
Top Bottom