Search results

  1. Mdau Mkuu

    Msaada tafadhari kwa wataalamu

    Habari Wadau! Naomba mnisaidie kuweza kuondoa hii tangazo linalotokea ambalo linaplay ikionesha mapishi, inakula MB zangu na sijui niligusa kitu gani mpaka ikawa hivi! Ni tangazo la MAYAGO ambalo chini yake limeandikwa ADS NOT BY THIS SITE, please nisaidieni wadau hili tangazo liweze kutoka...
  2. Mdau Mkuu

    Employment opportunities with wildlife conservation society of tanzania (wcst)

    Back ground The Wildlife Conservation Society of Tanzania (WCST) is a national Non-governmental (NGO), non-profit making and membership based civil society organization. Established in 1987, its main aim is conserving flora, fauna and their environment. WCST works with the Government and...
  3. Mdau Mkuu

    Administration and Finance Officer

    East, Central and Southern Africa Health Community Vacancy Advertisement Post of Administration and Finance Officer The East, Central and Southern Africa Health Community (ECSA-HC) invites applications for the post of Administration and Finance Officer for the Human Resources Alliance for...
  4. Mdau Mkuu

    Dawa ya kiburi!!

    Jamaa mmoja alioa mke mara siku moja mkewe akamwambia kuwa bomba lao la maji limepasuaka,jamaa akamjibu 'umeona me fundi bomba?',mkewe akawa mpole,haikupita wiki 1 mkewe akamwambia kuwa ukuta wa nyumba yao umebomoka ,jamaa akamjibu 'umesikia me fundi ujenzi'. Baada ya wiki moja jamaa akashangaa...
  5. Mdau Mkuu

    Wahehe na Wasambaa

    Tofauti yetu kubwa kati ya Wahehe-Iringa na sisi Wasambaa-Tanga ni kuwa wahehe wao ni 'nakusage sambi sako mwenyewe' afu unapiga mtama ndo unamaliza mambo wakati cici wasambaa ni kuwa wakati unamvua binti chu-i upande huu,binti huwa anakataa kata kata huku akikusaidia kuvua upande wa pili,yaani...
  6. Mdau Mkuu

    Msaada tutani wajameni!

    WanaJF nifanyeje niwe na bass maana cjui niliruka stage kipindi nabarehe maana sijawahi kuwa na bass la kunguruma kama simba,nimejaribu kumeza mayai mabichi ila wapi,plz anayefahamu dawa yoyote anielekeze maana mtaani wananiita sharobaro m'bana pua!Natanguliza shukurani zangu kwenu wadau wangu!
  7. Mdau Mkuu

    Kichefuchefu!

    Wadau niaje?nimeshazoea kuckia wanawake wajawazito ndo wanahisi kichefuchefu,bt mie leo nimeamka nahisi kichefuchefu,naomba kuuliza huwa kinatokana na nini?je pia cie wanaume huwa tunakipata ama ni mie peke yangu?na pia huwa kinaambukiza na dawa yake tafadhali sana!ahsanteni wadau
  8. Mdau Mkuu

    Shilingi 50!!!

    Kuna mtoto mmoja wa kike huko kijijini alipanda mti wa mpera pasipo kuvaa chupi,mara mzee mmoja akapita eneo hilo alipomuona huyo msichana akamwambia ashuke kisha akampa elfu 10,aende akanunue chupi! Yule mtoto akaenda akamuadithia mama yake kuhusu yaliyomkuta huko alikotoka,mara mama tamaa...
  9. Mdau Mkuu

    Msaada Wadau!

    Wadau naomba mwenye kujua matatizo ama dalili kuwa kimeo(tule tudude tunaokaa juu ya ulimi na karibu na koo) kwamba kinahitajika kukatwa ni nini!namishukuru wadau kwa msaada wenu
  10. Mdau Mkuu

    Naombeni ushauri wanaJF?

    Heshima nyingi nawapeni Wadau wangu,nashukuru maana ndani ya Jamvi hili nimepata kuelimika kwa mengi, na napenda kuwapa hongera kwa kuendelea kulisongesha gurudumu, kwa leo napenda wadau mnipe ushauri kwa Dadangu ambaye tokea mwaka 1998 hajawahi kuumwa wala ku2mia dawa ya malaria, ila tokea...
  11. Mdau Mkuu

    Jamani nifanyeje wana JF?

    Yakhe mie yamenikuta yasiyotakiwa kunikuta mie! Yapata miezi mitatu nimejikuta titi langu la kushoto limetuna na lina kama tudude tumetunatuna na ukilikamua linatoa maji maji japokuwa kwa sasa halitoi maji ila bado tule tudude tupo na tunaendelea kunikosesha amani!Kwa sasa sivai T-shirt za...
  12. Mdau Mkuu

    Wadau niokoleeni huyu mwanandugu!

    Waungwana nifanyeje nimsaidie mdau wangu maana ana miaka 4 amekuwa sugu wa kujichua! sasa baada ya kuchonga naye nimemtajia madhara yake moja wapo ni kupoteza nguvu za kiume!ajabu ameacha kujichua yapata miezi 2, ila ndo hatamani mademu afu hata akigonga anapiga bao mapema. In short anadai...
  13. Mdau Mkuu

    Msaada tutani!

    Wanajamvi kuna wakati nilisikia mtaani kuwa maralia au homa inaweza kupona kwa kujifukiza moshi wa maji ya moto huku umejifunika kwa shuka!je dawa hii ni kweli inatibu na kama ndiyo ni maji kiasi gani unaweka!
  14. Mdau Mkuu

    Jamani nisaidieni maana ishakuwa hatari!

    Wadau naombeni mwenye kujua dawa mbadala maana koo linaniwasha yapata wiki 2 bila kutulia japokuwa sijawahi kutumia dawa yyt ile afu natema makohozi kama nabanja wakati sibanji!sa cjui ni nini natanguliza shukurani zangu kwa wadau wote
Back
Top Bottom