Shilingi 50!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Shilingi 50!!!

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Mdau Mkuu, Nov 17, 2010.

 1. Mdau Mkuu

  Mdau Mkuu JF-Expert Member

  #1
  Nov 17, 2010
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 236
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Kuna mtoto mmoja wa kike huko kijijini alipanda mti wa mpera pasipo kuvaa chupi,mara mzee mmoja akapita eneo hilo alipomuona huyo msichana akamwambia ashuke kisha akampa elfu 10,aende akanunue chupi!
  Yule mtoto akaenda akamuadithia mama yake kuhusu yaliyomkuta huko alikotoka,mara mama tamaa ikampanda,kuona elfu 10 ya bure!
  Siku iliyofuata mama mtu akaenda yeye akapanda kwenye ule ule mpera pasipo kuvaa chupi,mara yule yule mzee akapita,kumuona yule mama akamuambia ashuke chini kisha akampa shilingi 50 akanyoe mavuzi yake!
   
 2. s

  seniorita JF-Expert Member

  #2
  Nov 17, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 674
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  lol
   
 3. Omukuru

  Omukuru JF-Expert Member

  #3
  Nov 17, 2010
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 244
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Shilingi 50 ilikuwa ya kununulia wembe.
  Yule mtoto chupi alinunua lakini alikuwa hajazoea kuivaa. Na kwa kuwa alipenda sana kupanda ule mpera siku nyingine mzee mwingine alimwona akiparamia ule mpera akamwambia "we mtoto wa kike usipandepande miti ovyo wavulana watakuchungulia chupi." Akajibu bila wasiwasi, "hawawezi kunichungulia chupi kwa sababu sijaivaa"
   
 4. Mdau Mkuu

  Mdau Mkuu JF-Expert Member

  #4
  Nov 18, 2010
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 236
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Tehe tehe tehe
   
 5. Joss

  Joss JF-Expert Member

  #5
  Nov 18, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 729
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  huyo mzee anamatatizo kwani lazima apite usawa wao halafu aangalie juu??
   
 6. DaMie

  DaMie JF-Expert Member

  #6
  Nov 18, 2010
  Joined: Mar 24, 2010
  Messages: 686
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  teh teh teh
   
 7. i

  ifolako Member

  #7
  Nov 18, 2010
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 98
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Baada ya kujibiwa hajavaa chupi yule mzee akamwambia fumba macho nihakikishe,nitagusa kwa mkono mdogo tuu wala usistuke.Kumbe yule jamaa akatoa 'mkono wa mtoto mdogo' na kumgusisha yule binti,binti akaanza kulia.
   
 8. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #8
  Nov 18, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Duuuh! Hili libabu sugardady linastahiki kuswekwa lupango kwa udalilishaji wa watoto wadogo.
   
 9. BABA JUICE

  BABA JUICE JF-Expert Member

  #9
  Nov 18, 2010
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 428
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  creative fun
   
Loading...