Msaada tutani!

Mdau Mkuu

JF-Expert Member
Dec 12, 2009
233
45
Wanajamvi kuna wakati nilisikia mtaani kuwa maralia au homa inaweza kupona kwa kujifukiza moshi wa maji ya moto huku umejifunika kwa shuka!je dawa hii ni kweli inatibu na kama ndiyo ni maji kiasi gani unaweka!
 
Mdau Mkuu;Wanajamvi kuna wakati nilisikia mtaani kuwa maralia au homa inaweza kupona kwa kujifukiza moshi wa maji ya moto huku umejifunika kwa shuka!je dawa hii ni kweli inatibu na kama ndiyo ni maji kiasi gani unaweka!

acha woga wewe wa tutobolewa na sindano unakuwa ka mtoto nenda hospitali
 
labda kwa iman inawezekana, kitaalamu tunaita (placebo treatment) kati ya watu mia 5-10 wanapona
 
You guy must have a problems, it seems you are afraid of going to the hospital!! Why my friend??? Ziko dawa za kujifukiza ila ni maji unachanganya na majani ya miti fulani. Hiyo ya maji pekee sijapata kuisikia
 
Wanajamvi kuna wakati nilisikia mtaani kuwa maralia au homa inaweza kupona kwa kujifukiza moshi wa maji ya moto huku umejifunika kwa shuka!je dawa hii ni kweli inatibu na kama ndiyo ni maji kiasi gani unaweka!

Mafua pekee ndo yanaweza kupona kwa njia hiyo
 
hiyo tiba ni kwa ajili ya flu.... malaria mzee noma.. hao ni parasites, there is no way can kill them by steam while they stay inside the body.... nenda kwa hospital ukachekiiiii......then u will get proper treatment....
 
Wanajamvi kuna wakati nilisikia mtaani kuwa maralia au homa inaweza kupona kwa kujifukiza moshi wa maji ya moto huku umejifunika kwa shuka!je dawa hii ni kweli inatibu na kama ndiyo ni maji kiasi gani unaweka!

DU!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom