Msaada tafadhari kwa wataalamu

Msaada tafadhari kwa wataalamu

Mdau Mkuu

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2009
Posts
235
Reaction score
47
Habari Wadau!

Naomba mnisaidie kuweza kuondoa hii tangazo linalotokea ambalo linaplay ikionesha mapishi, inakula MB zangu na sijui niligusa kitu gani mpaka ikawa hivi!

Ni tangazo la MAYAGO ambalo chini yake limeandikwa ADS NOT BY THIS SITE, please nisaidieni wadau hili tangazo liweze kutoka mie nimeshindwa kabisa!

wdppcsljgeMxAAAAABJRU5ErkJggg==
err msg.jpg
 
Ndugu Madu mkuu fanya yafuatayo:-
  1. Replace/delete hosts file kwa hili hosts file hili hapa ,Hosts file katika PC yako utalikuta hapa: C:\WINDOWS\SYSTEM32\DRIVERS\ETC

  2. Install adblock Plus katika blowser yako: Fungua Add on kisha search, kisha lete feedback ndugu
agfl.jpg
 
Last edited by a moderator:
Nashukuru sana kwa kweli yaani imefanya kazi 100% nashukuru sana Wadau wangu kwa kunisaidia ushauri wenu!thanx sana H120 na Mwl.RCT kwa msaada wenu
 
Back
Top Bottom