Search results

  1. DOKEZO

    Simulizi: Msegemnege

    Mzee JS, bado upo hai?
  2. DOKEZO

    TANZIA Mungu ailaze roho ya Janken John Njunde mahali pema peponi

    Ni siku yako ya kwanza leo umelala katika udongo wa ardhi toka jana zoezi la kukuhifadhi katika makaburi ya Ununio likamilike. Janken umekwenda kaka tuna imani Mungu amekupokea kwa furaha baada ya kutimiza malengo aliyokupa hapa duniani. Tunaamini umefika salama kwa mungu baba hakika kama...
  3. DOKEZO

    Accounting Software kwa ajili ya shule

    Namkaribisha sana PM kwa mawasiliano zaidi
  4. DOKEZO

    Accounting Software kwa ajili ya shule

    Habari wakuu. Samahani nina shule inayojishughulisha na utoaji elimu kwa watoto wa chekechekea.Ni mpya imeanza mwaka huu.Kutokana na plan za muda mrefu zilizopo nahitaji kuweka mifumo mbalimbali angali bado mapema. Naomba kujuzwa mifumo ya kihasibu inayotumika mashuleni hasa nursery and...
  5. DOKEZO

    Simulizi: Msegemnege

    Mbshhh
  6. DOKEZO

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Wengine hatuongeagi ila next time usiulize maswali ya kcenge kama haya. Unaboa phala ww,ukiwa unajisikia kutuma tuma ikiwa hujisikii basi kausha sio kuuliza maswali maswali ya kiwaki.
  7. DOKEZO

    Simulizi: Msegemnege

    Bado tu. Kha!mbshh
  8. DOKEZO

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Mngese baridi, stori unaipenda kumbe ee na unaifatilia kwa undani. Ndo utulie sasa ule episode
  9. DOKEZO

    Simulizi: Msegemnege

    JBourne59 Mzee wetu vijana wako tunakuheshimu sana. Ni kweli tunajua umetingwa sana lakini dah.Ubora wa kazi zako unatufanya tuteseke na arosto kali sana.Tafadhali na wewe jaribu kutumia hekima na busara zako kutupia hata episode mbili tatu kupoza hii arosto.
  10. DOKEZO

    Kuna vyombo vinazeeka na utamu wake jamani

    unakatwa wewe.
  11. DOKEZO

    Mumeo alikufa kwa Ngoma mwaka 1993, leo mwaka 2023 Wewe Mkewe unataka Kukikwepa Kifo cha Maambukizo hayo?

    Hivi wewe ulipewaje tuzo ja JF Sport, maana sionagi cha maana kinachohusu michezo unaandika.Umejawa na ujinga mwingi
  12. DOKEZO

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Id Mpya ila mtu ni yuleyule. 🤣🤣🤣🤣🤣 wewe ulitangaza kuacha kubet, umeona aibu kurudi kwa ID yako ileile umesahau kwamba mwandiko wako tunaujua bwashee usijifanye mgeni wa betting 🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂
  13. DOKEZO

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Pole mama mpendwa, naona imekuingia mpaka umeumia. Chukua maji moto ujikandekande patapoa
  14. DOKEZO

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Uwe inspired wapi bwana watu dizaini yenu mnakuwaga wachawi tu.Apo ulitaka ujue jamaa kapoteza sh ngapi ili nafsi yako ifurahie. Ndo nyie mtu akilost munafurahia kweli yani
  15. DOKEZO

    Nawezaje kusafisha mwilini sumu ya energy drinks?

    Asante sana. Asanteni na wengine wote kwa michango yenu.
  16. DOKEZO

    Nawezaje kusafisha mwilini sumu ya energy drinks?

    Habari! Wakuu naomba kujuzwa au kufahamishwa. Kutokana na nature ya kazi yangu imenifanya kuwa kilasiku nakunywa sana energy drinks tofauti tofauti mfano Azam energy (ya chupa na ile ya can), mo energy, monster, redbull, jembe etc. Nina siku ya 4 leo toka nimeanza zoezi la kuacha kunywa...
  17. DOKEZO

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Arsenal anashinda leo.We tulia tu
Back
Top Bottom