DOKEZO
JF-Expert Member
- Jan 17, 2014
- 322
- 486
Habari! Wakuu naomba kujuzwa au kufahamishwa. Kutokana na nature ya kazi yangu imenifanya kuwa kilasiku nakunywa sana energy drinks tofauti tofauti mfano Azam energy (ya chupa na ile ya can), mo energy, monster, redbull, jembe etc.
Nina siku ya 4 leo toka nimeanza zoezi la kuacha kunywa vinywaji hivyo pendwa. Ninachoomba ni kuelekezwa namna yoyoye ya kuondoa zile sumu ambazo tayari zilishaingia mwilini mwangu.
Natakiwa nifanyaje?