Search results

  1. MstahikiMeya

    Mtoto wa mwezi mmoja kutoka maziwa puani

    Wakuu habari za leo Mwanangu wa mwezi mmoja anatokewa maziwa puani hali hii imejitokeza wiki ya pili toka kuzaliwa kwake. Sasa jana imeenda mbali yametoka mpaka maskioni . Wakuu nini kinasababishwa na hii hali. On my way to hospital. Je kuna mdau ameshakutana na hali kama hii nipo njia panda.
  2. MstahikiMeya

    Hospitali gani nzuri ya kumfanyia tohara mtoto?

    Husika na kichwa cha habari wakuu, ni hospitali gani nzuri kwa kufanyia tohara wototo wadogo hapa Dar Shukran
  3. MstahikiMeya

    Agundulika akiwa sio mwanamke

    Ndugu zangu wapendwa kuweni makini na wasichana wa kazi za ndani. Kuna mama mmoja kaletewa house girl akaishi nae miezi 8 nyumbani kwake hapo jana mama huyo akaibiwa baadhi ya vitu vyake baada ya kumuuliza huyo dada wakazi 'nani kaiba na wewe ndie ninaekuachia nyumba' yule mfanyakazi hakutaka...
  4. MstahikiMeya

    BREVIS for sale 10.5 Mil

    Model 2002 kms 67,000 number "dcj" 2.5 l vibali vyote vipo sawa milion 10.5 fixed price
  5. MstahikiMeya

    Freemasons: Chukua tahadhari

    Ifahamike kuwa kuanzia tarehe 11 hadi 20 ya kila mwezi wa nne kila mwaka huwa ni siku mahususi za kutoa sadaka (kafara) kwa Wajenzi Huru katika lugha ya kigeni ( Freemasons ) kwa kile kinachoamika kuwa ni utekelezaji wa agizo ambalo mwanachama (member) hulikubali mara ya kwanza anapokuwa...
  6. MstahikiMeya

    Nimerudi hakika nimerudi

    Mstahiki meya nimerudi tena jamvini...hakika nimerudi....natumai wote wazima humu....Nimerudi na swali moja tu mengine yatafata baadae......ACT WAZALENDO kwa hapa dar makao makuu niwapi.... ahsanteni MstahikiMeya
  7. MstahikiMeya

    Mbunge mtarajiwa wa CHADEMA pichani

    Hii inavutia nakutia moyo tujitahidi kumpigia kura wadanganyika
  8. MstahikiMeya

    Onyesho la Diamond Platnumz katika Miaka 38 ya CCM

    Kijana anaushawishi mkubwa sana, Mimi nadhani ifike muda tumtumie kuvuta wapiga kura au mnaonaje wadau. #MstahikiMeya
  9. MstahikiMeya

    Askari ajiua kwa kujipiga Risasi Mdomoni

    TAARIFA YA KIFO:Mnamo tarehe 02/02/2015 majira ya saa 10.35hrs askari no.G.4228PC. ALOYCE ambaye alikuwa dereva wa OCD-MANYONI alifika kwa armoury keeper na kumuomba amkabidhi silaha kwani anasafari na OCD,alikabidhiwa silaha aina ya SAR NO.10065077ikiwa na risasi kumi. Aliondoka na silaha...
  10. MstahikiMeya

    Mwalimu Mwalimu atuhumiwa Kuiba Mahindi

    mwalimu wa shule ya msingi Ndaga (Mbeya) aiba mahindi ya wana kijiji yenye thamani ya shilingi Milioni Moja (Channel ten Habari)
  11. MstahikiMeya

    Imetokea kwenye saluni moja

    Lohhhh
  12. MstahikiMeya

    Huyu alikuwa mjumbe gani (MATUKIO YA 2014)

    Tukumbuke matukio ya 2014 Huyu alikuwa nani?
  13. MstahikiMeya

    Ah BABA FENAELIIII HAPA NDIO IGUNGAEEE..

    Hili fumanizi halijawahi kutokea,jamaa anaswa akifanya dhambi na mke wa mtu nyumbani kwa mwenye mali HIVI KIPI KIKUFANYACHO UCHEPUKE ILIHALI UMEOA?
  14. MstahikiMeya

    INASIKITISHA SANA NDIO HAIONI TENA dahhh

    Maana imetolewa macho dah ishakuwa kipofu hyo mimba
  15. MstahikiMeya

    Unapenda Selfie?Hawa wamefukuzwa kazi, wengine wamekatwa mishahara kwa sababu ya Selfie…

    Unapenda Selfie? Vingi vimesikika, wapo waliokamatwa kwa sababu walipiga selfie maeneo ambayo hawaruhusiwi kufanya hivyo, hawa jamaa nao wamejikuta wakipoteza kibarua baada ya kukiuka maadili ya kazi yao kwakujipiga selfie. Ni madaktari na manesi, walikuwa chumba cha operation Hospitali ya...
  16. MstahikiMeya

    NIMEMALIZA KRISMASS YANGU hivi

    Vipi upande wako umeimalizaje mdau
  17. MstahikiMeya

    VICHWA VYA HABARI JUU YA IDRISS ...pita hapa

    IDRISS, WEMA WAKUTWA POZI TATA WEMA: AN HAPPY WITH HIS SUCCESS IDRISS:WEMA NI KAMA DADA YANGU DIAMOND AHAHA KUZUIA UKARIBU WA WEMA NA IDRISS IDRISS, WEMA SIYO SIRI TENA MAMA WEMA: NAPENDA WAOANE KABISA SI KUCHEZEANA WEMA: IT WAS MY DREAM TO HAVE HIM IN MY SOUL SINCE 2006 IDRISS AMTESA...
  18. MstahikiMeya

    Ukistaajabu ya Wema na Diamond, Utayaona ya Chriss Brown na Karrueche

    Aiseee nimepitia mitandao kadhaa pamoja na page ya bwana mkubwa Chriss Brown aisee ni sheeda, kamchana huyu bi dada karrueche, naskia kagonoka na Drake. Pitia clip hii Youtube juzi ijumaa kwenye show yake akatangaza yu Single na kumporomoshea mitusi bi shost loh! Kweli ukistaajabu ya project...
  19. MstahikiMeya

    Breaking Newz - Waziri Mkuu Ajiuzulu

    Habari zilizotufikia hapa kwa sasa hivi imethibitishwa kuwa Waziri Mkuu amejiuzulu kutokana na skendo na kashfa zinazomsakama. Akiongea na waandishi wa habari kutoka USA, rais amethibitisha kuwa amepokea barua pepe iliyofatiwa simu kutoka Tanzania ikisema anaachia nafasi hiyo kwa maslai ya Kundi...
  20. MstahikiMeya

    Simulizi ya Kweli: Zali La Mtoto Wa Uswazi

    Ilikuwa asubuhi mida ya saa mbili Salma alishtuka kutoka usingizini kutokana na makelele ya mtaani kwao kinondoni shamba '' Uswazi'', harakaharaka akatafuta shati na kanga yake na kubeba ndoo za maji ili akachote maji ambayo atayatumia kwa siku hiyo. Akiwa njiani Salma alishtushwa na mlio mkali...
Back
Top Bottom