Hospitali gani nzuri ya kumfanyia tohara mtoto?

MstahikiMeya

JF-Expert Member
Jan 8, 2014
1,633
559
Husika na kichwa cha habari wakuu, ni hospitali gani nzuri kwa kufanyia tohara wototo wadogo hapa Dar

Shukran
 
Kama kweli upo serious na hili basi nione pembeni nikupe sehemu bingwa ya tohara
 
Husika na kichwa cha habari wakuu, ni hospitali gani nzuri kwa kufanyia tohara wototo wadogo hapa Dar

Shukran

Kwa tohara una unamaanisha nini? Kwa maana hili neno mara nyingi hutumiwa kwa watoto kike au kwa watoto wa kiume pia ni tohara?
 
Back
Top Bottom