Mtoto wa mwezi mmoja kutoka maziwa puani

MstahikiMeya

JF-Expert Member
Jan 8, 2014
1,633
559
Wakuu habari za leo

Mwanangu wa mwezi mmoja anatokewa maziwa puani hali hii imejitokeza wiki ya pili toka kuzaliwa kwake.

Sasa jana imeenda mbali yametoka mpaka maskioni .

Wakuu nini kinasababishwa na hii hali.

On my way to hospital.

Je kuna mdau ameshakutana na hali kama hii nipo njia panda.
 
Back
Top Bottom