Mbunge mtarajiwa wa CHADEMA pichani

Mbunge mtarajiwa wa CHADEMA pichani

MstahikiMeya

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2014
Posts
1,633
Reaction score
561
Hii inavutia nakutia moyo tujitahidi kumpigia kura wadanganyika
 

Attachments

  • 1424263737735.jpg
    1424263737735.jpg
    68.5 KB · Views: 1,144
Mwambie asahau kabisa hii kitu...ubunge sio Bongo flava...unahitaji watu makini wenye uwezo wa kushauri na kuisimamia serikali tena siyokuwa sikivu na kusimama katika vipaumbele vyake eg..

Jinsi ya gani ya kuongeza pata la taifa kwa kukusanya kodi kwenye vyanzo vilivyosahaulika, Misamaha ya kodi, kupunguza foleni mijini, kuondoa malori yanayoharibu barabara zetu kila siku,

Kuongeza uzalishaji mali katika Kilimo na Viwanda..masoko ya mazao ambayo yanawakatisha tamaa wakulima wa sasa e.g Kahawa, Pamba, Mkonge ECT.

Ubunge unahitaji watu serious sana na maisha ya baadaye ya Watanania na siyo wachumia tumbo na wabinafsi wanaongalia ni sehemu gani ya kupiga pesa na kuingia kwenye board za mashirika yetu.
 
Mleta mada anawashwa,kwani huyo mtu amepitishwa? unahangaika.
Bora ya huyu ambaye ni mwanachama tu,vip Pr Kapuya ambaye amekuwa hadi waziri!!! SHAME
 
hahahahahha safi sana jamaa kabana kiuono kwa hisia sana
 
Mwambie asahau kabisa hii kitu...ubunge sio Bongo flava...unahitaji watu makini wenye uwezo wa kushauri na kuisimamia serikali tena siyokuwa sikivu na kusimama katika vipaumbele vyake eg..

Jinsi ya gani ya kuongeza pata la taifa kwa kukusanya kodi kwenye vyanzo vilivyosahaulika, Misamaha ya kodi, kupunguza foleni mijini, kuondoa malori yanayoharibu barabara zetu kila siku,

Kuongeza uzalishaji mali katika Kilimo na Viwanda..masoko ya mazao ambayo yanawakatisha tamaa wakulima wa sasa e.g Kahawa, Pamba, Mkonge ECT.

Ubunge unahitaji watu serious sana na maisha ya baadaye ya Watanania na siyo wachumia tumbo na wabinafsi wanaongalia ni sehemu gani ya kupiga pesa na kuingia kwenye board za mashirika yetu.

WAAMBIE CHADEMA SIO MIMI...huyo ni mbunge wao me hainihusu
 
Tatizo hata sijaliona anaishi maisha yake ya kawaida kaimba muziki miaka zaidi ya kumi hakuna alichoambulia zaidi ya umaarufu sasa anahitaji kuutumia umaarufu wake ili ajinasue na hali yake aliyonayo

mleta mada nimekutukana
 
Ndugu zangu CCM ifike mahala tukatafakari ni jinsi gani ya kuwashawishi wananchi katika kupunguza na kupambana na umasikini.

Katika uchaguzi uliopita wa Serikali za mtaa tumepoteza mitaa mingapi hapa Morogoro mjini? Kata yangu huku ya bigwa kati ya mitaa yote ambayo awali upinzani/ukawa walikuwa null hivi sasa karibia tuwe nguvu sawa na bado twaendelea kuwapromote hawa majamaaa twaelekea wapi?

Tuamke tupige kazi tupeleke maendeleo kwa wananchi kihonda mpaka kwa chambo maji yatoke, nanenane mpaka tungi miundombinu iboreshwe tuache kumpigia kampeni Hao majamaa huku tumeona dogo mvuta bange kapata uenyekiti hapo Kilakala nyumbani kwako kabisa kisha unatuletea siasa zako za majitaka. Badilika mkuu.
 
lungekuta baada ya miaka 55 ya kuwa madarakani leo hii ndio mnafikiria muanze kupeleka maendeleo???

It's too late guys!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom