Search results

  1. Price

    Miss u guys

    Hello guys.Nimewamiss sana, all MMU members na Jamii forums members.nimemiss vingi hapa. Nawish kurudi tena.
  2. Price

    Tafadhali nisubiri

    Ki kweli napenda uwe na furaha, sitaki kukuumiza na wala sipend ukasirike. Tafadhali nisubiri nimalize shughuli zangu, nipe walau miaka miwili nami nitakuwa tayari kuwa na wewe. Ukiwa nami kwa sasa utaumia tu, nipo busy sana sina nafasi ya kukupet pet. Please kama wanipenda kwa dhati nisubiri...
  3. Price

    I love him

    Habari zenu Guys, miss u so much. Natumaini wote mko poa. Jamani mwenzenu nimempenda Mkaka, mbaya zaidi tupo ofisi moja kila ninapomuona nashindwa kufanya kazi, natamani ajue lakini tunaheshimiana sana. I don't know what to do. I am in love.
  4. Price

    Dear MMU& all members of JF

    Napenda kuwataarifu kwamba, Sitakuwepo katika JF Mpaka pale World Cup itakapoisha... maana naona ushirikiano umekuwa hafifu, watu hawachangii tena threads zingine... kila mmoja yupo busy.. kutokana na hivyo nami nimegundua cause... Niseme tutaonana after World cup. Love YOU Guys...!! Bye!!!
  5. Price

    Dear math

    Kua bhanaaaaa.....
  6. Price

    Hapendi kutoa

    Hi Guys...... ts a beautiful morning...! Jamani i'm so busyyyy..... hadi nahisi nitafia bafuni... Kazi nyingi...... muda wa kurefresh sinanikipata ndo kama hivi...... dah! My Future Bf... hapendi kuniletea Gift; Anazidi kuniongezea stress hata kukubali proposal yake nashindwa.... Mi...
  7. Price

    Maumivu niache!

    Umekuja na machozi yakunilizaliza kazi siwezi Umejificha kwenye mapenzi unavyoumizaumiza moyo na maradhi..... Maumivu niacheee..... maisha mapya ya furaha nianze Maumivu niacheee......... na mimi nahitaji nafuu nipate... Nilijificha kwenye mapenzi uliponikuta ukanitoa na machoziii Ukanipora na...
  8. Price

    Daahh!!

    Jamaa mmoja alifumaniwa na mke wa mtu, akafanikiwa kukimbia uchi hadi Stendi... Akapanda Daladala Konda akawa anamuangalia yule jamaa mara mbili mbili. Jamaa akamuuliza Konda: Unashangaa nini? Konda akamjibu: Sishangai uchi wako, najiuliza ulipoweka nauli yangu ni wapi?
  9. Price

    Umevaaje

    Tena nasema sipendi na sitaki msione nawanyamazia na kukata simu sipendi sema tu siwezi kutukana. Unapiga simu usiku badala ya kuongea mambo ya maana unataka kujua nimevaaje, he! itakusaidia nini wewe, am i your Girlfriend? Hata nisipovaa haikusaidii kitu, na hata nikivaa overall usiku...
  10. Price

    Usafi Wa Mavazi

    Jamani nguo za ndani ni muhimu sana. Kwa mdada unapaswa kuwa safi muda wote usifikiri kwamba hakuna atakaye kuja kuona ndani umevaa nini, ya dunia mengi ipo siku usiyojua unaweza ukaumwa ghafla ukasaidiwa na watu wengine ndipo utaona aibu. Shame on you mnaovaa pichu hadi zinachanika lakini bado...
  11. Price

    Let us chat

    Nimemiss hizi lugha, kwa anayejua French, Italian,Spanish and German..... tafadhali naomba tuchat.... nahisi nitazisahau... karibuni
  12. Price

    Iliyokugusa

    Kwa iliyokugusa, acha ujumbe
  13. Price

    My aunt's house girl

    Ni msichana wa ajabu sana, hapendi kuvaa nguo... muda wote anatamani awe uchi.... ukimkuta chumbani kwake ni uchi... i mean uchi bila piccchu...... yani kabisa... na siku akibaki nyumbani peke yake anashinda uchi na kama ukirudi ghafla utamkuta uchi.... mbaya zaidi cousin wangu ni wa kiume, na...
  14. Price

    Sipendi wanaonionyesha sehemu zao nyeti kwenye Skype

    I hate this..! nani kawaambia nataka kuona dushelele? yani kila nikisign in nakuta mijitu inataka kuniadd then niki wavideo call, wananionesha midushelele... i hate it...! midudu yenyewe mibovu sitaki kuiona wala kujua ukubwa wa midushelele.... wa Boyfriend wangu utanitosha kama nikimpata...
  15. Price

    Mmeiona!!!

    Ulikuwa darasa la ngapi enzi hizo!!
  16. Price

    Haya sasa!!!

    Nani mkali hapo...!
  17. Price

    Umuhimu wa b/day

    Mzee kakomalia B/Day yake!
  18. Price

    Iliyo kugusa

    Tazama tulivyo na mapenz ya kweli + ugumu wa maisha
  19. Price

    Kufanya mapenzi kwa simu

    Kuna raha gani ya kufanya mapenz kwa njia ya simu, iwe kwa kuongea au kwa kutumiana msgs.... coz sielewi... Jana nilipata mgeni, ni rafiki yangu wa Kike.. bahati mbaya alikataa kulala chumba cha wageni kwa kigezo kuwa anaogopa kulala peke yake.... Jamani usiku sijalala...! Mwenzangu anasex na...
  20. Price

    A cappella

    Vaa earphones usikie vizuuuuuuriiiiii.
Back
Top Bottom