Price
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 1,502
- 922
Ki kweli napenda uwe na furaha, sitaki kukuumiza na wala sipend ukasirike. Tafadhali nisubiri nimalize shughuli zangu, nipe walau miaka miwili nami nitakuwa tayari kuwa na wewe.
Ukiwa nami kwa sasa utaumia tu, nipo busy sana sina nafasi ya kukupet pet.
Please kama wanipenda kwa dhati nisubiri tafadhali
Ukiwa nami kwa sasa utaumia tu, nipo busy sana sina nafasi ya kukupet pet.
Please kama wanipenda kwa dhati nisubiri tafadhali