Search results

  1. MPARE KIBOGOYO

    Msaada Canon 2425i inaandika checking the data

    Habari...naomba msaada wa kutatua tatizo kwenye CANON 2325i. Inaandika ( Checking the data..... Do not turn OFF the main power. Remaining Time 1 min.
  2. MPARE KIBOGOYO

    Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga, Bi. Khadija awaweka ndani Wakuu wa Shule kwa kuchelewa kuanza ujenzi wa vyumba vya madarasa

    Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Mkuranga amewakamata na kuwaweka ndani wakuu wa shule 3 za sekondari kwa kuchelewa kuanza ujenzi wa vyumba vya madarasa. Wamewekwa ndani kuanzia tarehe 8/11/2021. ==== UPDATES: ==== Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga Bi.Khadija N. Ali, amekanusha taarifa hii...
  3. MPARE KIBOGOYO

    Kuna wanaomuelewa Mc Pilipili?

    Wana Jamii.... Me huwa sihoni anachochekesha huyu "Boya" sio lugha nzuri.....Mc Pilipili...Hivi huwa anachekesha nini....nadhani kwa watu wa karibu nae wamshauri afanye shughuli nyingine...maana... Mara 100 niangalie video ya marehemu Kinyambe(Sikumkubali pia R.I.P) Kuliko huyu jamaa.
  4. MPARE KIBOGOYO

    Msaada: Sifa za kujiunga kidato cha tano

    Mdogo wangu kamaliza kidato cha IV mwaka 2018 kapata Div III 23 ANA C CIVICS ,C ENGLISH, B KISWAHILI, C BIOLOGY, D HISTORY, D GEOGRAPHY, D MATHS. Je anaweza jiunga Form V na Comb zipi???? Sent using Jamii Forums mobile app
  5. MPARE KIBOGOYO

    Naomba msaada microsoft word 2007

    Wakuu tafadhali...Nahitaji kuandika heading fulani ila kwa nyuma (background) niandike vimaneno vidogo vidogo ambavyo vitaonekana kwa mbaliii(Mwenekano hafifu). Sent using Jamii Forums mobile app
  6. MPARE KIBOGOYO

    Kwa makato haya ya mshahara wangu, Namkumbuka Lowassa

    Dah. ..leo kwa mara ya kwanza najuta kwanini sikumpa kura huyu mzee..pamoja na yote nakumbuka ahadi yake ya kufuta madeni yangu ya bodi ya mkopo. Magufuli ...this is too much!!!!.... Ongezeko la mshahara hakuna halafu umepunguza 108, 000/= kwenye mkate wangu. Sio kwamba matajiri waishi kama...
  7. MPARE KIBOGOYO

    TANGAZO KWA WAHITIMU WALIOWASILISHA VYETI

    TANGAZO KWA UMMA: KUHUSU WAHITIMU WA SHAHADA NA STASHAHADA ZA UALIMU (SAYANSI) WALIOTAKIWA KUWASILISHA VYETI TAREHE 12/12/2016 WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA ILITANGAZA KUWA WAHITIMU WA STASHAHADA NA SHAHADA ZA UALIMU KATIKA MASOMO YA SAYANSI (FIZIKIA, KEMIA, BIOLOJIA) NA HISABATI WA...
  8. MPARE KIBOGOYO

    Msaada: Nauli halali za SUMATRA Moshi

    Kwa anaefahamu nauli halali za Kwenda..Moshi kutoka Dar kwa madaraja tofauti.
  9. MPARE KIBOGOYO

    Ali Kiba: Huwa nasikiliza nyimbo za Diamond

    Ali Kiba received a king's welcome when he arrived in Kenya for the third cycle of the Coke Studio Africa Recording earlier this week, but that was nothing compared to the love that Kenyans on social media showed him as he was interviewed by Lillian Muli for #OneonOne . His name shot to the top...
  10. MPARE KIBOGOYO

    Ujenzi wa maabara aibu mkoa wa Pwani

    Tarehe 30/6/2015 ilikuwa ndio mwisho wa kukabidhi maabara baada ya muda kubadilishwa zaidi ya mara 1, kwa visingizio kibao. Kiukweli lengo lilikuwa zuri pamoja na kupitia ujenzi huu kuna watu wamejinufaisha, upatikanaji wa fedha ulikuwa wa kimagumashi, hii imepelekea watu kufikia hata hatua ya...
  11. MPARE KIBOGOYO

    Majambazi wavamia NMB Mkuranga, Waua Polisi

    Majambazi wamevamia NMB Mkuranga, Wameua askari na kutokomea na fedha. ============================ Update Kamanda wa Polisi Mkoani Pwani, Jafary Mohamed, ameithibitishia JamiiForums kutokea kwa tukio hilo na kwamba sasa anajiandaa kwenda katika eneo la tukio. "Ni kweli nimepata taarifa...
  12. MPARE KIBOGOYO

    Msaada: Umbali kati ya barabara na kiwanja

    Wakuu kwa aneyejuwa, je umbali wa barabara na kiwanja unatakiwa uwe vipi? Unaanza kupima wapi? Umbali huo hupimwa upande upi wa barabara? (TANROADS, SHERIA NA TARATIBU ZA ARDHI)
  13. MPARE KIBOGOYO

    Halmashauri mkuranga wala pesa za walimu

    Nawasalimu kwa jina la BRN....moja kati ya halmashauri ya kiuni ni hii ya Mkuranga..kulikuwa na semina ya walimu iliyokuwa chini ya British council but dakika za mwisho wajanja wamepiga ela na kupeleka mavitabu ya baseline mashuleni bila mwongozo wowote.. Dah hawa watu hawana huruma matonge...
  14. MPARE KIBOGOYO

    Uchakachuzi wa hela za walimu wapya

    Wanajukwaa nilipokuwa ninaambiwa halmashauri zetu hasa za mijini zimejaa viongozi wezi, wadokozi wasio na huruma nilibisha. walimu wengi wanalalamika ela zao za kujikimu kuchakachuliwa na maafisa wa elimu wakishirikian na viongozi wengine wa halmashauri. Wengine hadi leo wanaambiwa...
  15. MPARE KIBOGOYO

    Clouds fm vs ushoga

    Wakuu nina wasiwasi sana na hawa clouds, kwa yaliyojir jana kwenye njia panda ni wazi kuwa wanapromote ushoga kimtindo.
  16. MPARE KIBOGOYO

    Msaada

    jinsi ya kujua password ya call barring kwa NOKIA N70
  17. MPARE KIBOGOYO

    Airtel wanyoosha mikono juu

    Aaah, kweli duniani hakuna kitu cha bure, hatimaye huduma ya HAKATWI MTU HAPA yapotea kukatwa kama kawa. NARUDI NYUMBANI
  18. MPARE KIBOGOYO

    Sitaki kuamini rais nae katudanganya!

    kwenye hotuba yake ya mwezi uliopita J.K alinukuliwa akisema serekali itaajiri walimu zaid ya elfu 30 mwezi wa januari..... ili januari ndio hiyo inaaga. dah.. tired!!
  19. MPARE KIBOGOYO

    Ajira za walimu

    Wakuu hali ni mbaya sana kitaa, siku zinasonga kila mtu anasema lake,tetesi zimekuwa nyingi. maisha nimeyaendesha kwa kubet(Mikeka) lakini siku za karibuni naona nyota haipo upande wangu. Mwenye taarifa sahihi na ajira mpya za walimu..lini?
Back
Top Bottom