Kwa makato haya ya mshahara wangu, Namkumbuka Lowassa

MPARE KIBOGOYO

JF-Expert Member
Nov 25, 2013
405
278
Dah. ..leo kwa mara ya kwanza najuta kwanini sikumpa kura huyu mzee..pamoja na yote nakumbuka ahadi yake ya kufuta madeni yangu ya bodi ya mkopo. Magufuli ...this is too much!!!!....

Ongezeko la mshahara hakuna halafu umepunguza 108, 000/= kwenye mkate wangu. Sio kwamba matajiri waishi kama shetani...maskini ndio tunaishi kama wafu. I am sorry Lowasa. Nakukumbuka Jakaya pia.
 
Dah. ..leo kwa mara ya kwanza najuta kwanini sikumpa kula huyu mzee..pamoja na yote nakumbuka ahadi yake ya kufuta madeni yangu ya bodi ya mkopo. Magufuli ...this is too much!!!!....ongezeko la mshahara hakuna halafu umepunguza 10,8000/= kwenye mkate wangu. Sio kwamba matajiri waishi kama shetani...maskini ndio tunaishi kama wafu. I am sorry Lowasa. Nakukumbuka Jakaya pia.
mimi nahisi nilipata hata laana kwa kumpigania huyu mtukufe na kupinga elimu bure mpaka chuo kikuu na kufuta makato ya bodi ya mikopo. hua najiuliza, hivi kipindi kile nilikua chizi au.
 
huyu raisi sijui anajiamini nini... yaan hata miaka 5 hajamaliza anawatibua tu wananchi... wanaojua huwa wanasema "MBIO ZA SAKAFUNI......!"
mwacheni tu...
 
Back
Top Bottom