Msaada: Sifa za kujiunga kidato cha tano

Msaada: Sifa za kujiunga kidato cha tano

Attachments

  • Form five selection 2018 and the selection criteria for academic year 2018-2019.jpg
    Form five selection 2018 and the selection criteria for academic year 2018-2019.jpg
    58.1 KB · Views: 339
Huyo asubili selection za teaching wenye two na one na three za mwanzoni ni wengi mno na shule ni chache.
.
Ndio maana serikali ikaja na mpango wa waliopata division three waende ualimu na kada mbalimbali za afya.
 
Yaani watu waliofeli ndo waende ualimu? Daah ndo maana elimu yetu inafariki mtu aliepata div three anawezaje kumfundisha kipanga mwenye malengo ya kupiga single digit?

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mdogo wangu kamaliza kidato cha IV mwaka 2018 kapata Div III 23 ANA C CIVICS ,C ENGLISH, B KISWAHILI, C BIOLOGY, D HISTORY, D GEOGRAPHY, D MATHS. Je anaweza jiunga Form V na Comb zipi????

Sent using Jamii Forums mobile app
Anaweza soma HKL katika shule ya private kwa kutumia mfumo maalum wa special need programs.

Kama yupo interested, naomba nichek pm nikupe maelezo zaidi Mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom