Search results

  1. strong ruler

    Viumbe vyenye sura za ajabu baharini

    1.Mdudu huyu aitwaye Polychaetes anaishi katika kina kirefu baharini. 2.Papa aina ya Goblin ana pua ndefu na meno makali. 3.Huyu ni konokono wa baharini wenye umbo la kipepeo (Thecosomata) 4.Huyu ni samaki aina ya frogfish mwenye manyoya mengi anayeishi katika mlango bahari wa Lembeh...
  2. strong ruler

    Umeona nini hapa mtanzania mwenzangu?

  3. strong ruler

    Nyuki walifuata gari kwa siku mbili ili kumuokoa Malkia aliyekwama kwenye gari hilo

    Hawa nyuki walifuata gari hili kwa siku mbili ili kumuokoa malkia (Queen bee) ambaye alikuwa amekwama ndani. Mwenye gari hili, Carol Howarth,alimbeba malakia wa nyuki hawa kutoka kwenye hifadhi moja nchini Marekani.Ingawa wataalama waliwaondoa nyuki hao kwenye gari, walirejea tena siku ya pili...
  4. strong ruler

    Elewa kuhusu betri ya simu, Ni muhimu sana soma

    Betri inapobaki asilimia ngapi ya chaji inafaa kuchajiwa tena? Mwendo kasi wa kuchaji simu ya mkononi unabadilikabadilika. Baadhi ya wakati unaichaji simu yako kwa muda mfupi lakini inaweza kufanya kazi kwa muda mrefu, na baadhi ya wakati unaichaji kwa usiku mzima lakini betri inakwisha ndani...
  5. strong ruler

    Wachina wanatisha

    Ujenzi wa jengo lenye mita 452 unaendelea katikati mwa China. Malori yanayobeba vyuma vinavyohitajika yakiunganishwa, urefu wake utafikia kilomita 29. Wafanyakazi wamepangwa zamu tatu kila siku, ili ujenzi uendelee bila kusita. Wakitoa jasho wakiwa juu, wanamaliza ujenzi wa mwundo wa chuma...
  6. strong ruler

    Kwani kuna ubaya? [emoji38][emoji38]

  7. strong ruler

    Uchungu wa mwana, Uchungu wa mwana

  8. strong ruler

    Jionee kuku toleo jipya

  9. strong ruler

    Judgement Day.

  10. strong ruler

    PICHA: Lugumi live ndani ya Mwanza

    Wakuu kwa wale wasio mfahamu ndugu yetu Lugumi taiz zake awapo barabarani ama katika matembezi yake ya kila siku, leo asubuhi hii nimefanikiwa kunasa picha hizi kwa kutumia camera yangu ya kijasusi. Hizi picha nimezipiga maneo ya nkurumah road kwa siri na kwa umakini mkubwa sana na kwa umbali wa...
  11. strong ruler

    Madhara yatokayo na kumuita mtu mzima baby.

    *YATOKANAYO
  12. strong ruler

    Haiwezekani, narudia tena haiwezekani

  13. strong ruler

    Gusa unate kizamani kisasa

  14. strong ruler

    Picha: Watumishi hewa VS Magufuli.

  15. strong ruler

    Karibuni tulione Joka lenye vichwa viwili.

    Joka lenye vichwa viwili. Nyoka huyu alipigwa picha na Jason Talbott baada ya kuonekana na marafiki zake mwituni Kansas, Marekani. Wakati mmoja, kichwa kimoja cha nyoka huyo kingeshambulia kingine. Lakini vilihitajika kufanya kazi sambamba kumuwezesha kutambaa. Picha/Jason Talbott/Caters News
  16. strong ruler

    Picha: Mipaka 17 ya kustaajabisha kati ya nchi na nchi

    These Amazing Borders Are Must Watch for Everyone.
Back
Top Bottom