strong ruler
JF-Expert Member
- Nov 2, 2013
- 4,921
- 3,306
Joka lenye vichwa viwili. Nyoka huyu alipigwa picha na Jason Talbott baada ya kuonekana na marafiki zake mwituni Kansas, Marekani. Wakati mmoja, kichwa kimoja cha nyoka huyo kingeshambulia kingine. Lakini vilihitajika kufanya kazi sambamba kumuwezesha kutambaa. Picha/Jason Talbott/Caters News